Ninaweza ku Google na kupata jibu, ila kwa faida ya wengine pia..
Je, ndege kama A319 ( Fastjet ) inaweza kutumia wastani wa lita ngapi ya mafuta kwa flight ya Dar to Mwanza, ikiwa na abiria kama 100 hivi, na asilimia ngapi ya hayo mafuta yanatumika wakati wa kunyanyuka ( take off ) na asilimia ngapi inapo cruise forward, % ngapi wakati wa kutua ?