Aircraft Maintanance

Naomba kujua, engine ya ndege huwa inapozwa na nini? Maji, hewa au oil?
 
National institute of transport (NIT) NDO INATOLEWA HIYO COURSE YA AIRCRAFT MAINTENANCE
 
Naomba kujua, engine ya ndege huwa inapozwa na nini? Maji, hewa au oil?
Naomba kujua, engine ya ndege huwa inapozwa na nini? Maji, hewa au oil?
cooling system ktk ndege hutegemea
vitu vikuu viwili ambavyo hupelekea kushushwa kwa joto la engine na kuwa standard ambavyo ni
hewa(air cooling system) maji(water cooling system) hizi ndio hupooza kwa asilimia kubwa ila oil huchukua nafasi kubwa kwa urainishi wa sehemu mbalimbali ndan ya engine na huchukua asilimia ndogo sana katika upoozaji pale oil inapopita katika hizo inner engine's part kama bearings
 
kwa kuongezea ndugu kidamva ktk mfumo wa upoozaj
kuna aina za engines hupoozaji wake hutegemea hewa(air cooling system pekee) 90% na 10% ni oil
ingawaje oil kaz yake kuu ni kupunguza misuguano baina ya face moja dhid ya nying
aina hii za engine hujulikana kama jet engine hutumika ktk ndege za kivita kwa ni nyepes, ndogo na hutoa mlio mkali sambamba na speed kubwa

pia zipo engines hutumia mifumo yote miwili kwa pamoja ktk upoozaj wake wa engine
water cooling 70% air cooling 25% na oil 5%
ikumbukwe oil sio mfumo wa upooza ndio maana huchangia asilimia ndogo ya upoozaj kwavile yenyewe ni liquid ila yenyewe tunaiingiza ktk lubrication system
aina hizi za engines hazina kelele kama jet engine, ni kubwa dhid ya jet engine, zenyewe hutumika ktk boengs, na turboprops(panga boy)
NADHAN NIMEELEWEKA KWAN NIMEJIITAID KUTUMIA KISWAHIL NA KUPUNGUZU TERMINOLOGY NYINGI ILI KULETA UWELEWA
 
Ndege inapaaje na uzito wote ule na je huko angani uzito hubaki ule ule au hupungua?
 
ndug soki; iko hiviii engine(s) inapowashwa hupelekea fen kuvuta hewa iliyo nje kuingia ndan na hukutana na compressor kukigandamiza kiwango hicho na kupajoto hapo huchanywa na fuel kutokea mlipuko hewa ile(mosh) kutolewa nje kuptia turbine had ktk exhaust nozzle sababu hiyo sehemu ni ndogo na kile kiwango kilichounguzwa ni king huzalishwa pressure na kutokana na ukubwa na uzito wa ndege hupelekea hiyo ndege kumove forward
mfano dumu la lita20 likiwa na maj ukimimina kutokana na ufinyu wa ule mdomo na maj kua meng dumu hilo lita move kuja juu ebu fanya huo utafit hicho ndo kinachofanyika hapo
sasa wakat ndege inamove foward kwa spid kubwa hukabiliana na upepo mkari unaopita ktk hizo mbawa zake(wings) na kupelekea kuzalisha nguvu ijulikanayo kama uplift kutokana na upepo kushape zile wings hizo wings zitakua pushed up na ndege kuanza kupaa kwa kuinua tairi za mbele
 
pia ndugu soki kuhusiana na swala la uzito ni kawaida sana kubeba mzigo kulingana na uzite wake yaan isizid uzito wake
mfano wewe una uzito 50kg utawezabeba load ya 100kg?
hivyo baada ya ndege kukamilika baada ya kuundwa pale kiwandan huchukuliwa na kuingizwa ktk mzani wa jumla na kubain kila zake halisi hivyo kama ndege inauzito wa 1000kg mwisho huchukua load ya 900kg had 950kg haizid hapo
na inapokua angani(floating) huzito hupungua na kua floated
hizo ni thiory za mass ktk physics
 
hizo ni thiory za mass,volume na density ktk physics
 
Napenda kufahamu, ndege inaweza kuruka kwenye sehemu isiyokuwa na hewa( vacuum)
ndio inawezekana mkuu
kwan baada ya nguvu aina ya thrust kuanzishwa na engine hupelekea hiyo ndege kumove foward hivyo nilazima ktk movement kali huzalishwa artificial winds baada ya kukosekana kwa natural winds
mfano unapokua ktk bodaboda kabla ya mwendo kuanza na assume ktk joto hakuna hewa na hiyo bodaboda ikiwa ktk kasi pressure ya upepo nayo huzalishwa au gari inapokua ktk foleni ni tofaut na inapokua ktk movement kwan kiwango kikubwa cha upepo huzalishwa
hivyo huo upepo kama kawaida huipush up yale mabawa na kupaa
ndege inaweza paa hata kama hakuna natural winds
ukitaka kuamini hiyo tafuta sehemu isiyo na hewa ya kutosha then kimbia kwa kasi lazima kama umevaa shat pana utaona likipepea

this means when speed increase also pressure(artificial winds) increase too
as one way speed(d) is direct proportional to pressure(artificial winds)
 
duh!
 
Shukran kaka, nimekuelewa
 
Back
Top Bottom