Airbus A380 Qatar Airways

Airbus A380 Qatar Airways

WATANZANIA WATU WA AJABU SANA KWELIKWELI WAKATI ULE WA AWAMU YA 2 NA YA 3 NA YA 4 HATUKUWA NA NDEGE YA KITAIFA ZAIDI YA ILE YA RAIS PEKEE AMBAYO TULIKULA MPAKA NYASI NA IKANUNULIWA SASA KIPENZI CHA NCHI,MWANA WA NCHI BAADA YA KIPINDI CHOTE KILICHOPITA AMEAMUA KUTOAFIKI HALI ILIOKUWEPO NA KUAMUA KUANZA HIVI TENA BILA HATA YA WATANZANIA KULISHWA NYASI _ MNABEZA KIJINGA/ NA MH. RAIS AMEHAIDI ZINGINE 2 ZIPO NJIANI KUBWA./
AJABU SANA./ HAMNA SHUKRANI HATA KIDOGO?...has a nyie ukawa.
MKUU MUNGU AKUBARIKI KWA BUSARA ZAKO.
 
Me naomba kujuzwa tofauti ya Boeing, airbus na hzi ndege zetu. Maana napata shida sana, ni majina ya kampuni, au majina ya ukubwa wa ndege husika? Msaada tafadhali...
Hizo boeing na Airbus ni kama smartphone za Samsung na Iphone.. Hizi za kwetu ni kama zile siemens kidole gumba, sijui kama unazikumbuka?
 
Hizo boeing na Airbus ni kama smartphone za Samsung na Iphone.. Hizi za kwetu ni kama zile siemens kidole gumba, sijui kama unazikumbuka?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sio hatuna upendo, nimeweka hizi ili tunapokuwa tunajadili maswala ya Serikali inunue ndege kubwa muweze kuona kama miundombinu iliyokuwepo itawezesha hizo ndege kufanya kwa ufanisi??
Hahaha mwanangu nilitaka tu kushea hiko kipandw cha mstari cha fid Q,
Yani nilienda nje ya mada kabisaaa hata sivyo ulivyodhani...
Alafu nashukuru kwa kunifafanulia dhumuni la kuweka hizo picha,
manake mi mwanzo nilidhani labda umeweka kwa majigambo au ulitaka tusafishe macho tu kwa kushea nasi ulichokishuhudia abroad...
Kumbe main purpose ni kutugeia funzo .... Salute mzee..
 
Ni muendelezo wa namba tu, mfano Fast Jet yao model ni Airbus A319, kuna Airbus A333 etc, Hiyo Airbus A380 ndio kiingia mjini.
 
Hizo boeing na Airbus ni kama smartphone za Samsung na Iphone.. Hizi za kwetu ni kama zile siemens kidole gumba, sijui kama unazikumbuka?

Fananisha japo na Tecno ila sio dole gumba.
 
Hizo boeing na Airbus ni kama smartphone za Samsung na Iphone.. Hizi za kwetu ni kama zile siemens kidole gumba, sijui kama unazikumbuka?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mungu anakuona
 
0b9a4b748ea6faad5afef142895e72cd.jpg


35b0edc26fa3164f64b34deff51fd2d7.jpg


7a83a755a416a65e5084447c301e7bac.jpg


Picha za ndani zinafuata.
Airport ya wapi hii mkuu?
 
Napenda sana kusafiri, msimu wa likizo unakuja najiandaa uzuri. Mungu na anitunuku afya njema nitembee kuuona uumbaji wake duniani.
 
Dah wabongo noma, sasa hicho chakula cha skychef kinaingiaje kwenye ndege? Hebu angalia Container za Skychef zinapakia chakula, yaani unabishana na picha
...ni kwamba hilo kontena linatumika kubebea tu chakula kutoka huko vinakoandaliwa hadi uwanjani, ndani ya hilo kontena kuna kama vikontena vidogo vidogo (trolleys) ambavyo ndivyo vyenye chakula na ndivyo vinavyotolewa na kuingizwa kwenye ndege, kontena kubwa linarudishwa...
1476386463921.jpg
1476386484661.jpg
 
Back
Top Bottom