Sio kweli. Hujui ndege injini yake ikipigwa na ndege wa kuruka tu ni shida.Ndege mpya inaharibikaje kaka?
Kitu kikiwa kipya mpaka kugusa injini ni miaka 5 kwenda mbele....
Vigari tu hivi vya kijapani pamoja na kutumika kwao lkn vikija huku unaweza piga nayo miaka 7 ndo ukagusa injini....
Hiyo ndegw ni mbovu toka huko au service hakuna
Nimeshangaa sana. Eti watoe taarifa, yaani kila ttz la ndege lzm waitishe press conference mmmmmhSijaelewa..!! Uo usiri unaoulalamikia unataka kila ndege ya ATCL ikipatwa na hitirafu unataka Waziri Kamwele aite press atangaze au CEO wa ATCL atabgaze.?? Shirika gani linafanya hivo hapa duniani?
Hapana, lakini malipo yanayotegemewa yanajulikana. Hiyo ni motisha tosha.Inawezekana kweli mnatishwa,lakini swali ni je,na kusifia mnalazimishwa?
Hiyo ndege ni kimeo. Ni ndege inayodaiwa kuwa na kasoro nyingi sana toka ikiwa kiwandani.
Mimi nilishasema hata bure, ndege za ATCL sitazipanda. Wanafanya kazi kwa kubahatisha sana.
Wabongo watu wa ajabu sanaSijaelewa..!! Uo usiri unaoulalamikia unataka kila ndege ya ATCL ikipatwa na hitirafu unataka Waziri Kamwele aite press atangaze au CEO wa ATCL atabgaze.?? Shirika gani linafanya hivo hapa duniani?
Mkuu tengua kauli tafafhali. Tusiombee haya kwa wenzetu wenye uwezo wa kupands hayo makitu. Mungu atunusuru na hata lolote ktk nchi yetu.Hii haifiki 2020 bila kuuwa watu.
Siku hizi hazina engine tatu, ni either mbili, nne, sita au naneVipi, haya mambo ni mageni kwako? Hata kujua tu kuwa ndege hizi kubwa huwa zina engine 2 mpaka 3, nayo huelewi kabisa?
Jiwe alidhani biashara inakua smooth.na uhakika alipo jiwe hana furaha kabisa tutegemee stress zake atatumbua watu wasio na hatia kabisaAfadhali limeharibika watu hatulali, ndege, ndege, huku hela mtaani hakuna watu wanataabika, after all hata likiharibika sisi tumeshapata teni pasenti.
Hizi ndege, mh!!!!!
Wahariri kazi kuandika habari za kusifia tu hasa kumsifu bwana yule ila kuandika habari kama hizi hawaandiki!!
Inawezekana kweli mnatishwa,lakini swali ni je,na kusifia mnalazimishwa?
uliingizwa chaka unajua. hata ndege hiyo imekujaje kujaje au imepatikanaje...wakati toka uzaliwa hujawahi kulipa hata senti ya kodi serikaliniHuo mtumba tuliingizwa Chakaa
Ni wapumbavu tu kama wewe ndiyo huamini ujinga huo soma historia ya ajali za ndege ndiyo utajua unachoongea ni wendawazimu wako anzia Marekani, Urusi na kwingine kote duniani kama ndege zinazoanguka huwa ni kuukuu tu na siyo mpya kama unavyojidanganya. Anakufa ndiyo mtu aliumbwa na Mungu ijekuwa ndege kazi ya mikono ya binadamu wacha upumbavu bwana mtoto anazaliwa mzima kabisa unampa mgongo keshakufa hapa napo utasemaje we juha???We nawe ni mpuuzi. Wataalam wanashangaa kwa nini engine hizo zimekuwa zikifail, wewe usiye na ujuzi unasema ni kawaida.
Kiuhalisia ndege haistahili kuharibika ikiwa inafanya kazi. Kila part ina muda wake wa replacement, kabla ya muda ambao hiyo part inaweza kupata failure. Kwa hiyo kimsingi ndege haistahili kuharibika na wala replacement ya parts huwa haisubiri part ipate failure.
The generation of broken rubberSafi Sana....hili ni somo kwa nchi kuwa tuache kukurupuka next time kununua haya madude. Kudos our pilots