Consigliere
Platinum Member
- Sep 9, 2010
- 12,689
- 26,568
Nani kaongelea sura nzuri hapa? Halafu umeelewa hapa subject ni nini? au unataka ujulikane kuwa na wewe huwa unapanda ndege za kimataifa mara kwa mara?Ndugu wewe hujapata bahati ya kuruka na mapipa ya kimataifa mara kwa mara nini? Nauliza hivi kwa sababu kuna imani potofu imeenea Bongo kuwa wahudumu wa ndege ni lazima wawe na sura nzuri na umri mdogo! Kama umewahi kuruka kimataifa mara kwa mara nahitaji sitahiji kukufundisha juu ya hili!