Air hostess precision air wanalipwa kiasi gan?

Air hostess precision air wanalipwa kiasi gan?

mkata-mkaa

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2016
Posts
296
Reaction score
181
wakuu kuna mtoto mzur sana anafanya kazi iyo kampun ya ndege precision air

najalibu kutia mistali, ila uyo mtoto wa ukweli sana, pamba mpya daily

hivi wanalipwa kiasi gan?

maana uyo mtoto kwa mapigo yake yananifanya ni waze mengi
 
Bado hawajazeeka tu? Maana wakati fulani ATCL ilikua ma wazee tupu wanaishia kujisiliba ma-foundation/Puti tu usoni. Precisions ndiyo kulikua na visu hasa, ila karibuni hali ikanadirika ghafla sasa hivi Precissions ndiyo wanajipiga mafoundation kama wamerogwa vile. Nikajua tayari wameshazeeka nao.
wewe umeshawahi kupanda ndege? au mbwembwe tu za kichadema
 
aanina!!
unauliza haya kwenye nchi masikini ya pili kutoka chini?
 
Bado hawajazeeka tu? Maana wakati fulani ATCL ilikua ma wazee tupu wanaishia kujisiliba ma-foundation/Puti tu usoni. Precisions ndiyo kulikua na visu hasa, ila karibuni hali ikanadirika ghafla sasa hivi Precissions ndiyo wanajipiga mafoundation kama wamerogwa vile. Nikajua tayari wameshazeeka nao.
mbona ma foundation hahahahaaaa
 
wakuu kuna mtoto mzur sana anafanya kazi iyo kampun ya ndege precision air

najalibu kutia mistali, ila uyo mtoto wa ukweli sana, pamba mpya daily

hivi wanalipwa kiasi gan?

maana uyo mtoto kwa mapigo yake yananifanya ni waze mengi
Mkuu ulishafika bei?
Lakini wanaume tuna vigezo kila kabila linapofika suala la kushobokea mwanamke!

Uone unavyojibanza nyuma ya mavazi yake badala ya kuwa tu muwazi kuwa umependa!

Kuna mwanamke hapa Tz anayevaa sana na kubadili mavazi kila siku, tena pamba za bei mbaya kama Alice Tuppa wa Millard Ayo on line Tv?

Maana kama ni mavazi ni mtaalamu wa kuvaa! Kila siku muonekano mpya na kamwe harudii vazi.

Ukimuona analo leo, hautamuona nalo tena maisha!

Hadi nikawa najiuliza, kuna utaratibu huo labda wa kiofisi!

Je mavazi ya kugeuzageuza kila uchao ni yaofisi ama yake! Na kama ni yake, basi ana behewa zima la mabelo ya nguo!

Ni zaidi ya mke wa marehemu Chiluba rais mst wa Zambia. Lakini watu hatudati.

Sasa jomba habari ya mavazi kuna watu wanavaa usimlinganishe, hapo wewe umevutiwa na mishepu tu hauna lolote.

Na unatakiwa ukiri kwa kinywa chako kwamba umempenda kwa ajili ya uzuri wake na si kwa mavazi.

Maana ya Mungu mengi wawezakuta siku moja unamvua hayo mavazi yake ambayo umempendea, sasa utabakiza nini mikononi mwako kama si yeye bila mavazi!

Unavyomsononekea ndiyo sala yenyewe, ambayo Mungu anaweza akaijibu.
 
Bado hawajazeeka tu? Maana wakati fulani ATCL ilikua ma wazee tupu wanaishia kujisiliba ma-foundation/Puti tu usoni. Precisions ndiyo kulikua na visu hasa, ila karibuni hali ikanadirika ghafla sasa hivi Precissions ndiyo wanajipiga mafoundation kama wamerogwa vile. Nikajua tayari wameshazeeka nao.
Ndugu wewe hujapata bahati ya kuruka na mapipa ya kimataifa mara kwa mara nini? Nauliza hivi kwa sababu kuna imani potofu imeenea Bongo kuwa wahudumu wa ndege ni lazima wawe na sura nzuri na umri mdogo! Kama umewahi kuruka kimataifa mara kwa mara nahitaji sitahiji kukufundisha juu ya hili!
 
Back
Top Bottom