Aina za wauaji na mauaji

duuhh mkuu kwanza umenikumbusha jambo
baada yakuiona hii picha..
HUWA SIJUI NINATATIZO GANI NAPOMUONA MTU ALIYEPTWA NA MATATIZO YA AJALI KAMA HIVI HUWA NACHANGANYIKIWA KABISA..YAANI NA DATA ..sio lazima iwe kwenye tukio la ajali ..yaani huwa yanitokea hata pale napokutana na wale watu wasiojiweza kiuchumi ambao huwa wanaomba msaada wakifedha ikitokea nikakutana na ambaye hajakamilika like alipatwaga na ajali ikawa hana mikono au kaungua uso huwa napatwa na hiyo hali

nitakuwa natatizo gani ??
 
Kuna page moja ipo facebook inakop na kupaste post za huku jamiiforum na kuweka huko
Halafu hudai kuchangia kwa wasomaj ili upate mwishoe

Kama nyie ndo waanzilishi Mashallah kujipatia rizki ila kama sio nyie kuna boya anapga pesa kutumia mabandiko yenu hasa jukwaa la intelligensia

[HASHTAG]#Watch[/HASHTAG] out
 
Nishatoa hayo malalamiko kuhusu hilo hapa JF ila naona ni ngumu kudhibiti.. Hili ni andishi binafsi.. Naomba hiyo link
 
Mmh nipe muda tafadhali
 
Mortuary Attendant.. salute kwako Mshana Jr
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji121] [emoji121] [emoji120] [emoji120] [emoji123] [emoji109] [emoji817] [emoji781] [emoji779] [emoji770]
 
Hivi wale wa TL ni kwamba hawajui kazi yao vema au tu kuna nguvu ya
Mungu kwenye tukio zima maana nishaona watu wengi wakifa kwa Risasi
moja mpaka tano tena kwa kupigwa maeneo ambayo si hatari kama ya TL!?

Ya Tindu Lissu ulikuwa ujumbe kwa wengine....,madhumuni hasa ni kuleta woga katika jamii,kuleta woga kwa wanasiasa kama Lissu

Kutokana na wakati wa kile kitendo kilipotokea,sehemu ya tukio lilipotekea,na style ya tukio madhumuni hasa ya tukio la Lissu nikuwanyamazisha wanaojifanya wana midomo mrefu,......

Kupona kwa Lissu ni miujiza ya Mungu,lile jaribio la Lissu ni "Mafia assassination style",yaani hata kama kuna kuku mle ndani gari hataki atoke mzima,dereva na Lissu kutoka katika lile tukio ni maajabu makubwa...
 
usiilazimishe akili yako kuelewa ktk kanuni moja! kuwa mpembuzi wa lugha nilichokitaka ni kwanini umekuwa ukifundisha/kuandika maswala ya kichawi..?
mantiki yangu bado iko palepale
Hujalazimishwa kusoma jukwaa hili kuna Jukwaa la wasiojielewa nenda ukaungane kusoma nyuzi zao

Hii ni JF kuna majukwaa kibao nenda huko nani kakulazimisha kusoma huu uzi
 
Hujalazimishwa kusoma jukwaa hili kuna Jukwaa la wasiojielewa nenda ukaungane kusoma nyuzi zao

Hii ni JF kuna majukwaa kibao nenda huko nani kakulazimisha kusoma huu uzi
kushindwa kuelewa mantiki ya kile nilichoandika kusikufanye kupatwa na mhemko uloshindwa kuuzuia,hata hivyo nimemuuliza mhusika sijafanya kosa! na kuuliza si ujinga.. hekima na busara ni vitu muhimu,jifunze kutawala mihemko yako..
 
Kuna wale wanotambulika na idara fulani ya serikal,wanaua kwa ajili ya utafiti au masomo fulan ya kitiba.

Mfano wao wanaenda km pale kariakoo kisha wanabana mahali wanacheck aina ya mtu anayewafaa ktk kazi yao wanampendekeza kisha wanamfutilia wakifika mahali wanapaona panawafaa kumtoa uhai wanamuua kisha anaenda kukaushwa kamwe mtamtafuta mtu huyo hamtamuona tena.

Bila shaka yameshawahi kutokea mahali fulan kamwe asijulikane alienda wpi.

Je watu hao wauaji hao wanaitwaje?
 
Mmh hawa ndio nawasikia leo itabidi niingie kazini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…