Aina za wauaji na mauaji

[emoji15] [emoji3] [emoji121] uhalali wa uchawi unatokana na imani mila na desturi za sehemu husika.. Kwa hapa kwetu uchawi sio halali
wewe binafsi unaona uchawi ni halali..? toa nasababu
 
Tusizungumzie uhalali au uharamu tuzungumzie uhalisia
we ni ndege unaeruka kila tawi litakalotikiswa na upepo hata kama ni upepo wa mkono!
ni uhalisia upi unaotaka kuuzungumza..?
 
we ni ndege unaeruka kila tawi litakalotikiswa na upepo hata kama ni upepo wa mkono!
ni uhalisia upi unaotaka kuuzungumza..?
Wa ndege anayeruka kila tawi
 
Hapana sina mazunngumzo
Ndo maana nakuchukuliaga wake zako hueleweki unaruba kama ruba natunguli zinazopumua kama mtu mnene anaepanda mlima! napo utasema nakusimanga😀 maana huishiwi visanga!
 
Nimejifunza mengi leo
 
Ndo maana nakuchukuliaga wake zako hueleweki unaruba kama ruba natunguli zinazopumua kama mtu mnene anaepanda mlima! napo utasema nakusimanga😀 maana huishiwi visanga!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Usiogope huyu ni mtani wangu!
hapo atakuwa amefura sahivi katandaza mahirizi yanahema kwa kasi ya bombadier! huku kashika usinga ktk nyanja tofauti tofauti huku akisema "abdakadabra" mishumaa nayo ikipepea ktk chumba mithili ya makao makuu ya tanesco!
cha ajabu yote hayo hayafui dafu kwenye chuma cha mjerumani😀
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sawa bhana kumbe mnajuana
 
Ndo maana nakuchukuliaga wake zako hueleweki unaruba kama ruba natunguli zinazopumua kama mtu mnene anaepanda mlima! napo utasema nakusimanga😀 maana huishiwi visanga!
Duu...! Wake zangu... [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hiyo kweli,mshana kunamchinjaji wa saudiarabia yeyenikuchinja watu waliohukumiwa kifo
 
Umesahau wauaji wa kitoa makafara hawa ndio wenye roho mbaya they knows what is gonna be
 
Umesahau wauaji wa kitoa makafara hawa ndio wenye roho mbaya they knows what is gonna be
Wanajiita holy killers kuna picha nimeambatanisha mtoto anatolewa ubongo live
 
Wewe ni nani hadi uamue nani anapaswa kuzaliwa na yupi hapaswi? Na kama una huo uwezo utashindwaje pia kuwa muuwaji?
Nimekukumbuka nikajiuliza sijui wewe uko kundi gani hapa maana jf members wanajua hiyo ndio shughuli yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…