Aina za vitambi na sababu zake

Turudi kwako sasa,[emoji3] would you have made such a decision??? Be straight and truthful.[emoji51] Pitia ma file yako yote katika maktaba ya roho na nafsi yako, from your desires and admirations halafu unipe jibu. Usianze Oh inategemea kama nampenda au Oh sijui Kwioo.[emoji122]
 
You are crazy[emoji38][emoji38][emoji38], honestly no, those bodies are not my swags.
 
You are crazy[emoji38][emoji38][emoji38], honestly no, those bodies are not my swags.
Umeona sasa you being honest. Ila kuna wenzako wana roho ngumu sana, anafanya maamuzi magumu mpaka unajiuliza huyu amerogwa au vipi. Hebu mcheki huyu dada hapa dah.

Vitambi vingine ni uzembe wa kwenda haha kubwa!!
 
Hapana hajarogwa sema kila mtu ana preference zake kwenye mahusiano, hatufanani
Naona umeamua kuwa mwanasiasa sasa lol. Hivi umeitazama hio picha vizuri??? Umei zoom kisawasawa??? Kuna dalili yoyote ya preference hapo???.

Naweza kushika Biblia au Msaafu kupinga swala la chaguo hapo kwakweli. [emoji16]
 
Vitambi vingine ni uzembe wa kwenda haha kubwa!!
Vipo vitambi vya bahati mbaya. Kama hicho kitambi mchuchumio kinachokuja kwasababu ya mchemsho na bia za ofa.

Unapigwa ofa kila weekend, ngoma inaanza kujaa bila taarifa. Mara paap ngoma imejaa.
 
Hiki kina air cleaner
 
Hili tumbo najiulizafa jamaa anaweza kufanya kweli ama anafanywa yeye.. (analala chali fimeli ndio anajihudumia) [emoji23]

Anawezaje kupiga mibabam? [emoji23]
 
Hatuwezi jua labda mwamba ni fundi saana wa kupiga deki[emoji14]

Anamfikisha kwa kupiga deki ft mifinga [emoji115][emoji867][emoji1696][emoji3577][emoji868][emoji3516][emoji1690]

[emoji23]
 
Hatuwezi jua labda mwamba ni fundi saana wa kupiga deki[emoji14]

Anamfikisha kwa kupiga deki ft mifinga [emoji115][emoji867][emoji1696][emoji3577][emoji868][emoji3516][emoji1690]

[emoji23]
Naomba asije akatokea mtu akamshauri Peter Msechu kuhusu matumizi ya mkongo, utakua ni ushauri wa kipumbavu sana, maana tutampoteza Peter.[emoji3][emoji3]
 
Kuna kitambi fulani kinapatikana sana TANGA, wilaya ya Muheza. Kinasababishwa na unywaji wa mnazi. Mmiliki huwa mwembamba na mabega choka mbaya lkn Kuna kakikitambi. Wamiliki wa hivi vitambi huwakosi kwenye vilabu vya ukuti.
 
Naona umeamua kuwa mwanasiasa sasa lol. Hivi umeitazama hio picha vizuri??? Umei zoom kisawasawa??? Kuna dalili yoyote ya preference hapo???.

Naweza kushika Biblia au Msaafu kupinga swala la chaguo hapo kwakweli. [emoji16]
Haha ila wewe umeamua kuwananga ndugu zetu wenye vitambi

Kwamba hawapendeki au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…