Aina za vitambi na sababu zake

Kwa kwel mimi nimejaliwa na MTEPETO.bia huwa situmii,kitimoto situmii ni maisha yangu tuu ya kawaida.vp kina madhara???na jee ni njia kipi nitumie ili nikitoe???
 
tupo pamoja.vipi nilisikia pia kama chakula kikipungua nacho huwa kinaisha[emoji38]
kuna ukwel wowote?[emoji45]

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Njia rahisi ya kupunguza mafuta mwilini au kitambi ni mbili ambazo nazifahamu;

1) Mazoezi sana, kama vile ya kuogelea na kukimbia.

2) Diet, nzuri ni ya kula matunda tu siku nzima. Yani unaacha kula vyakula vya kawaida unavyokula (wali, ugali, nyama) na unakua unakula matunda tu na juice. (asubuhi unapiga sahani nzima ya matunda na juice badala ya chai, mchana unapiga sahani mzima ya matunda na juice badala ya chakula cha kawaida, usiku pia unapiga sahani ya matunda na juice badala ya dinner ya kawaida). Hii ukienda nayo kwa muda wa week moja utapungua si chini ya kilo 10.

Matunda hayaongezi mafuta mwilini na wala haya nenepeshi mwili, hata ukiwa unakula sahani mbili kwa pamoja.
 
Ok bhadi tupo pamoja.nitarudi kea mrejesho

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Sasa kupunguza kilo ndyo kupunguza kitambi? Watu wanataka watoe kitambi na siyo kupunguza sehemu zingne za mwili....


Huwa najiuliza mbona wacheza mpira hawana vitambi hahahahah
 
Kitambi Mbonyeo kinachotokana na kula rushwa ni hatari😅😅😅
 
Tafsiri ya haraka ya kitambi chochote ni kuwa tunatembea na chakula cha ziada ambacho mwili hauhitaji. Mtizamo wa jamii kwa siku za nyuma ukiwa na kitambi inaonekana kama mambo yako ya kiuchumi ni mazuri na inaonekana kuwa mfano bora wa watu waliofanikiwa kimaisha. Ni muhimu tukadhibiti ulaji wa vyakula kwa maana ya aina na kiasi. Tukifanya hivyo hatutaendelea kutembea na stoo ya chakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…