Aina za Ubani na kazi zake

Aina za Ubani na kazi zake

Nahitaj kufaham nisije nunua ubani nachoma ghafla watu waanze kuguta kelele mala maimuna mala wida bora niulize

OK wakati wa kununua utaambiwa kuwa upi ni kwa ajili ipi
 
Mimi ninaujua ubani msuba,ubani ngada,ubani wida,kuna ubani mwingine huku kwetu unaitwa marley the 'bob',sambamba na ubani hang-over,bila kuusahau ubani mrungi huu unapendwa sana na madereva wa magari makubwa,..Ubani mwingine siutaji polisi watanitafuta maana wanapenda sana ubani..

Hahahahaaaaa hatari sana...
 
Back
Top Bottom