Heading za ivo zinanipaga shida sana, nikajua wewe ndio utaziainisha hapa kumbe unaliza swali. Napendekezea lifunguliwe jukwaa la maswali
hehehehe uspanic bibie,ni jokin tu
Huo mashtaka ni wa kufanyia mashtaka?
Muda mwingine nacheka bila kujua ni nini nachekea kumbe nakumbuka comments jf.
Muda mwingine nacheka bila kujua ni nini nachekea kumbe nakumbuka comments jf.
1.Ubani wa kawaida huu unatumika sana makanisani.
2.Ubani makkah huu unatumika sana pindi watu wanapofanya maombi yao (dua) pia unaweza kuuchoma ndani kwa ajili ya kupata tu harafu nzuri ndani ya nyumba.
3.Ubani mashtaka huu hutumika zaidi kwenye mambo ya kiganga
kiujumla kuna zaidi ya aina kumi za ubani