kuna ubani makka ubani mashtaka hizi ndo najua mimi nyingine sjui
Huo mashtaka ni wa kufanyia mashtaka?
Aina za ubani na kazi zake, maana hutumika sehemu mbali mbali.
Naombeni kufahamu aina za ubani na kazi yake.
ubani ndiyo nini mkuu? au unaulizia aina za bangi
hahahhahah hata mimi hua nawaza hilo kwa kweli sijui sio mtaalam sana wa mambo haya hizo nilizotaja pia nililfanya kuskia nikiwa karibu na duka mtu akiuliza hizi aina za ubani akatajiwa hizo ila sikuweza kuuliza kwa nini au kazi zake nikaendelea na mambo yangu
Huo mashtaka ni wa kufanyia mashtaka?
nimejikuta nimekosa cha kukujibukwani kuna ubaya ukisema kama we ndo muuzaji wa ubani?
nimejikuta nimekosa cha kukujibu
Aina za ubani na kazi zake, maana hutumika sehemu mbali mbali.
Naombeni kufahamu aina za ubani na kazi yake.
Kazo zake ni zipo
Mimi ninaujua ubani msuba,ubani ngada,ubani wida,kuna ubani mwingine huku kwetu unaitwa marley the 'bob',sambamba na ubani hang-over,bila kuusahau ubani mrungi huu unapendwa sana na madereva wa magari makubwa,..Ubani mwingine siutaji polisi watanitafuta maana wanapenda sana ubani..