aina za maua

Kwetu kulikua na maua kama;
Maua waridi
Maua yasmini
 
mironjo ni miguu mirefu halafu myembamba sana.

Haya maua mironjo miti yake ilikuwa myembembe na vijani vidogo, afu yana maua ya njano sana.

yote hayo nayakumbuka isipokuwa maua mironjo. siyafahamu kabisa!
 
waridi, maua sasita, maua mgomba, mengine nayajaua majina ya kisayansi
 
BAGAH Umenchekesha. haya bana, naona unautumia ule msemo kuwa mwanamke ni pambo!
 
Last edited by a moderator:
wadau kuna maua flani yana rangi ya kijivu afu yananukia vizuri, vijani vyake ni vidogo vidogo. jina nimesahau mara nying walisema yanavutia sana nyoka. nani anayafahamu?
 
waridi, maua sasita, maua mgomba, mengine nayajaua majina ya kisayansi

duh huz kumbe nawe umo eeh, unayafahamu maua mkonge, maua taji, maua kaburi?
 
sikuwaga nako kwa kweli ukizingatia nilikuwa nachukia "eti ntachafuka na udongo"......nahisi haikuwa hobby yangu ingawa yakipandwa nitayaadmire....especially kama ni roses


hahahaa BT hata kale kautoto ka kupanda maua hukuwaga nako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…