Aina za hasira za wanawake

Yaan sio
Potelea mbali,kuliko kukaliwa kichwani.
kukaliwa kuchwani ujue, hakuna raha kama masikizano baina ya wana ndoa. Utaifurahia nyumba na utaishi umri mrefu
 
Yaan sio

kukaliwa kuchwani ujue, hakuna raha kama masikizano baina ya wana ndoa. Utaifurahia nyumba na utaishi umri mrefu
Shida yangu iko kwa mwanamke anaetoka huko alikotoka kanuna halafu hasira anamalizia nyumbani
Kwakweli hatutaelewana.ila ukikasirika kwa kua nimekuuzi mimi,basi nitafikiria kidogo namna ya kukuweka sawa.ila nikikubembeleza kidogo uwe mwelewa,sio nikubembeleze sana maana
Nitagaiti.
 
Yaan wanaume jaman. Ila uko sawa halo ila bhana unibebembeleze had I nikuelewe
Sio unasema basis mamii yaishe ufikiri umebembeleza
 
Yaan wanaume jaman. Ila uko sawa halo ila bhana unibebembeleze had I nikuelewe
Sio unasema basis mamii yaishe ufikiri umebembeleza
Sasa si mpaka nikuite mamy! Yaani itategemea na kosa,nyie mna mauzi! Acha kabisa.huyo mwanamke nitakaempata itabidi niishi nae kwanza kabla ya ndoa,ili tusomane vizuri kwanza.ila wewe inaonekana unadeka,sasa ole wako!
 
Na napenda k

dekezwa sana
Hahahahahah yaan halo ndo nasikia raha nikibebembelezw
 
Ngoja niwafundishe kitu hapa chonde chonde mwanamke hata akikasirika please usimkalie kimya maana wanasemaga mwanamke kama pesa hata ukiutupa chooni itaokotwa tu
 
Hiyo namba NNE.ilikuwa inatokea kwa my partner Wangu wa class UDOM those days,nikawa nachat nae but one day Mme wake akaja kumcheki maana kammiss,ile usiku Mme kachukua simu yake kusoma msg anazikuta zangu sasa timbwili likaja alipoulizwa nani huyu.,,,dah aliingia period mda huo,,,,na mchezo ukaisha Mme kaenda kulala stand,,bafupisha coz ni bonge LA story. So mleta mada izo kweli zinatokea kila MTU ana zake style.
 
Mara nyingi kwangu ni no 1 nalia sana lkn sasa huwa nashangaa nyege zinapotokea nakuwa na nyege vibaya na nikibembelezwa tu itapigwa game kabambeee

adolay
 
Na sijuagi kwanini wanawake wanakasirika kasirika,sipatagi jibu,ila mimi mtu akikasirika akiwa karibu na mimi anaweza kufa,maana nitazidi kumkasirisha hadi aijue hasara ya hasira na apate kuitambua faida ya furaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…