Ukiniuzi sikwambii wala nini,ila ntawasha mziki kwa saut ya juu af na mi naimba,sikusemeshi na kila kitu,ukinisemesha jibu ntakalokujibu lazima ukaweke kikao kwenu kulidiscus

Bado,kuna huyu ambaye akikasikrika hutafuta simu na kuanza kusearch namba za ma ex boyfriend zake na kuanza kupanga miadi ya kufanya uovu kwa nia ya kukukomesha..
Hahaha. Ila hasira bana, mie hiyo namba moja ilitaka kunitawala halafu nikaiona sio kabisa sababu kila nikipatwa na hasira lazima macho yawe mekundu tu.