Haahaa....atakuja kukufia huyoDah wangu akikasirika anazimia kabisa siku yakwanza nilitaka nikimbie ila kwasasa nimeshamzoea nikimuuzi najiandaa kumshikiria ilia asianguke vibaya
Hahahaha nihatari madam lakini nisalamaHaahaa....atakuja kukufia huyo
Duh, pole mkuu!..4. I see me.
[emoji28] [emoji28]Mwingine mwanamke akikasirika anakuchukua chumbani utadhani waenda pigwa kumbe anakupa papuchi hadi utapike
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Woooii[emoji23][emoji23]me akiingia bafuni namfuata jomoniii...na usiombee awe kanikera na nimemuhamm wooiii...[emoji108][emoji108][emoji108][emoji23]
Mmh...uongo.Mie number 10
15: Wakikasirika wanawaita wenzi wao vibamia...
16. Wakikasirika wanawaita wanaume "wanaume wa Dar" (wanawake wa aina hii wako wengi sana hapa JF)
Between the line, hizo ni kwa wanawake walio kwenye ndoa zao. Wakudanga haiwahusu!!Mimi ya kwangu haipo
Hapo anakua amekuudhi nini kwa mfano?Mkuu kuna ambao ukiongeea sana anakuacha anaongea tu apo analala na kukoroma tu apo utashangaa jitu udenda unamtoka kwa usingizi pumbavu
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi kabisa,mambo ya kununa nuna waachie wacheza mieleka.Mi namba 2 tatizo wananiuzigi wengine mbembelezaji yeye akishaniita mama na ile sauti yake nasahau kila kitu naanza na kucheka
Sent using Jamii Forums mobile app
Yupo mmoja hivi akiwa na hasira anavizia mda wa kulala anachukua simu na kuchati ilimradi nimsemeshe unachati na nani mda huu na akiona sijamsemesha anatumia plan B anafungulia redio na kuweka mahubiri na anaweka sauti kuubwa kama yoote hivi, Na nikiona tuu kafanya hiv huwa nakuwa mpole nakumwomba tufanye yaisheHabari wakuu,
Kuna aina za hasira za wanawake hasa wanapoudhiwa na wapendwa wao. Ukishaona kakasira muache, hasira zikiisha mambo yatakuwa poa. Muhimu umjue hasira zake zilivyo. Mi wangu ananuna wiki nzima inaweza isha, yupo namba tatu[emoji23][emoji23][emoji23]. Nacheka sana akinuna.. Ila wengine sasa:
1. Kuna mwanamke ambaye akikasirika, huishia kulia tuu!
2. Lakini mwingine akichukia, anaongea saanaa muda wote hadi ikukere!
3. Mwanamke mwingine akikasirika, ananuna, haongei! Mtapishana tu kimya kimya. Mawasiliano kibubu-bubu. Shavu limejaa kama Kobra!
4. Mwingine akishikwa na hasira, period ya ghafla ghafla inafuata!
5. Wako wanawake ambao, akichukia, Atakachokishika usipokimbia anakutandika na anaweza kukuchoma na kisu,, majuto baadaye!
6. Mwanamke mwingine akikasirika, hasira zake zinaishia kwenye kuvunja-vunja vyombo. Au saa nyingine kugombeza-gombeza wafanyakazi na watoto! Dizaini hii, huwa ni wale waliokosa kukidhiwa haja za kihisia/ ndoa na waume zao!
7. Mwanamke mwingine akikasirika, Mtajuana kitandani panapo usiku, Nakwambia utaungama yoote!
8. Kuna wengine wakitibuliwa, hukimbilia kufunga mabegi na kuondoka!
9. Wapo ambao wakikasirika, wanagoma kupika!
10. Wengine wakichukia, wanaamua kwenda kulala kimyaaa!!
11. Wanawake wengine wakikasirika, tumbo linakata, na pengine mpaka wanaharisha!
13. Wako ambao wakishikwa na hasira, huingia kwenye maombi na kuugua kusikoweza kutamkwa. Uchungu ukiisha, wananawa uso na kwenda sokoni.
14. Yuko ambaye akishikwa na hasira, hucheka saaanaaa.... Hutajua kama amekasirika! Dizaini hii ni hatari sana, maana anaweza kukudhuru kiurahisi.
WEE UKO KUNDI GANI AU MKEO YUKOJE??
Unakuta hata umemdaka Mr na msg ya kuchepuka hukoHapo anakua amekuudhi nini kwa mfano?
sababu wanawake wengine bwana anakopa mkopo akwambii
wakija kubeba vitu baada ya kushindwa kulipa ukimuuliza ananuna.
sasa hapo nasisi tuseme pumbavu?