Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,212
- 16,915
uzi haukufai soma tu pale nilipokukwot hasa pale kwenye redNdio inasemaje red sjasoma uzi mm hunie
uzi haukufai soma tu pale nilipokukwot hasa pale kwenye redNdio inasemaje red sjasoma uzi mm hunie
Mhhhhhuzi haukufai soma tu pale nilipokukwot hasa pale kwenye red
Mkuu kuna ambao ukiongeea sana anakuacha anaongea tu apo analala na kukoroma tu apo utashangaa jitu udenda unamtoka kwa usingizi pumbavuMimi bwana inategemea umenikeraje,..naweza kuongea mpaka dukuduku liniishe baada ya hapo mahaba yataendelea palepale lakini niongee tuu na usinizuie we niache tu nuiongeeeeee mpaka asubuhi,.muda mwingine naweza tabasam tuu na kukaa kimya(hapa vitendo vitafanya kazi yake).
Niko 14Habari wakuu,
Kuna aina za hasira za wanawake hasa wanapoudhiwa na wapendwa wao. Ukishaona kakasira muache, hasira zikiisha mambo yatakuwa poa. Muhimu umjue hasira zake zilivyo. Mi wangu ananuna wiki nzima inaweza isha, yupo namba tatu[emoji23][emoji23][emoji23]. Nacheka sana akinuna.. Ila wengine sasa:
1. Kuna mwanamke ambaye akikasirika, huishia kulia tuu!
2. Lakini mwingine akichukia, anaongea saanaa muda wote hadi ikukere!
3. Mwanamke mwingine akikasirika, ananuna, haongei! Mtapishana tu kimya kimya. Mawasiliano kibubu-bubu. Shavu limejaa kama Kobra!
4. Mwingine akishikwa na hasira, period ya ghafla ghafla inafuata!
5. Wako wanawake ambao, akichukia, Atakachokishika usipokimbia anakutandika na anaweza kukuchoma na kisu,, majuto baadaye!
6. Mwanamke mwingine akikasirika, hasira zake zinaishia kwenye kuvunja-vunja vyombo. Au saa nyingine kugombeza-gombeza wafanyakazi na watoto! Dizaini hii, huwa ni wale waliokosa kukidhiwa haja za kihisia/ ndoa na waume zao!
7. Mwanamke mwingine akikasirika, Mtajuana kitandani panapo usiku, Nakwambia utaungama yoote!
8. Kuna wengine wakitibuliwa, hukimbilia kufunga mabegi na kuondoka!
9. Wapo ambao wakikasirika, wanagoma kupika!
10. Wengine wakichukia, wanaamua kwenda kulala kimyaaa!!
11. Wanawake wengine wakikasirika, tumbo linakata, na pengine mpaka wanaharisha!
13. Wako ambao wakishikwa na hasira, huingia kwenye maombi na kuugua kusikoweza kutamkwa. Uchungu ukiisha, wananawa uso na kwenda sokoni.
14. Yuko ambaye akishikwa na hasira, hucheka saaanaaa.... Hutajua kama amekasirika! Dizaini hii ni hatari sana, maana anaweza kukudhuru kiurahisi.
WEE UKO KUNDI GANI AU MKEO YUKOJE??
Habari wakuu,

Weeee hahaha me nakuamsha huwezi lala aseee ntaenda kutafuta vuvuzela lilipo...me niongee yeye alale woiii [emoji23]Mkuu kuna ambao ukiongeea sana anakuacha anaongea tu apo analala na kukoroma tu apo utashangaa jitu udenda unamtoka kwa usingizi pumbavu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha yani mr angu anaweza akuache ndani unaongea akatoka nje anajua tu huwezi ongea mkiwa nje basi yani ilimradi tu usimsemeWeeee hahaha me nakuamsha huwezi lala aseee ntaenda kutafuta vuvuzela lilipo...me niongee yeye alale woiii [emoji23]
itajeMimi ya kwangu haipo
Ipo sana mbona?Mimi ya kwangu haipo
Me namfata nje lakini siongei kile(lengo) mpaka turudi ndani,.ila huko nje ataona vituko tuu ambavyo hatakuwa na budi kucheka au kurudi ndani tukamalizane[emoji108][emoji85]Hahahaha yani mr angu anaweza akuache ndani unaongea akatoka nje anajua tu huwezi ongea mkiwa nje basi yani ilimradi tu usimseme
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo wangu huwa anacheka anaangalia pembeni tu baadae akiingia ndani ukianza ongea utaongeeea atavua nguo aingie wash room aoge amalize aje akorome kudadadeki kuna wanaume wanaviburiiMe namfata nje lakini siongei kile(lengo) mpaka turudi ndani,.ila huko nje ataona vituko tuu ambavyo hatakuwa na budi kucheka au kurudi ndani tukamalizane[emoji108][emoji85]
Woooii[emoji23][emoji23]me akiingia bafuni namfuata jomoniii...na usiombee awe kanikera na nimemuhamm wooiii...[emoji108][emoji108][emoji108][emoji23]Huyo wangu huwa anacheka anaangalia pembeni tu baadae akiingia ndani ukianza ongea utaongeeea atavua nguo aingie wash room aoge amalize aje akorome kudadadeki kuna wanaume wanaviburii
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji108] [emoji108] [emoji108] hapo si hasira zinaisha jamani na unampa credit za bureee manake mi nikikerwa fresh asee yani hata ham hazipandiWoooii[emoji23][emoji23]me akiingia bafuni namfuata jomoniii...na usiombee awe kanikera na nimemuhamm wooiii...[emoji108][emoji108][emoji108][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji108] [emoji108] [emoji108] hapo si hasira zinaisha jamani na unampa credit za bureee manake mi nikikerwa fresh asee yani hata ham hazipandi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukija na Vuvuzela nakufinya mashavu.Weeee hahaha me nakuamsha huwezi lala aseee ntaenda kutafuta vuvuzela lilipo...me niongee yeye alale woiii [emoji23]
Mashavuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukija na Vuvuzela nakufinya mashavu.