Aina za hasira za Wanawake na vituko vyao

Aina za hasira za Wanawake na vituko vyao

Unakuta hata umemdaka Mr na msg ya kuchepuka huko
Sasa hata kama hilo ni kosa ndo umuite pumbavu?,wengi wenu
mnasababisha mnajifanya maafande nyumbani
wakati wa tendo mnatoa amri utadhani mko paredi.
usinishike hapo,usinifanye hivi,mara usinifanye vile
na huku husemi unataka ufanyweje,anayekuheshimu
anachepuka.asiyekuheshimu anahamia kwa beki tatu.
 
Back
Top Bottom