kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,082
- 6,795
Nafkiri tusiwakatae marafiki wanaokuja lakini tujiulize huyubaba hana ukaribu na watu wenye mafanikio makubwa duniani? Hatumwonl na kina Bill Gates,Carlos Slim ama wajapani wenye technolojia na sayansi ya viwanda. Kilasiku kina kagurita,kagamire,kamwigabe kweli kuna viwanda hapa ama kuna kung'ang'ania waitihausi. Nikama mtu akwambie anataka kupambana awe professa alafu kutwa anazurura na kina wema,stivu nyenyere nk. kweli?