Mdomo unapoza Sana kwenye Serikali!Kwa sababu ipi hiyo itamfanya awe na maisha magumu?
Why maisha yake yawe magumu? Kudos kwa huyu RPC ambaye ameonyesha kuwa anafuata kiapo chake, CCM ni political party kama vyama Vingine na sio wamiliki wa nchi hii, middle class wa Sasa ni waoga na wanafiki mno, heshima aliyoiacha CJ Nyalali ni kutokana na msimamo wake wa kusimamia sheria za nchi na hii ililetea politicians na wananchi kumheshimu na elewa alifanya kazi kipindi cha mfumo wa Chama kimoja cha kisiasa na TISS iliyokuwepo kipindi kile ilikua respect bcs they EARN IT.Maisha Yake yatakuwa Magumu Sana baada ya kustaafu!
Kamanda Mponjoli for IGP!.
He deserves!Kamanda Mponjoli for IGP!.
P
Asante sana mkuu kwa comment mzuri sanaWhy maisha yake yawe magumu?kudos kwa huyu RPC ambaye ameonyesha kuwa anafuata kiapo chake,ccm ni political party kama vyama Vingine na sio wamiliki wa nchi hii, middle class wa Sasa ni waoga na wanafiki mno, heshima aliyoiacha CJ Nyalali ni kutokana na msimamo wake wa kusimamia sheria za nchi na hii ililetea politicians na wananchi kumheshimu na elewa alifanya kazi kipindi cha mfumo wa Chama kimoja cha kisiasa na TISS iliyokuwepo kipindi kile ilikua respect bcs they EARN IT.
If the best is what we need.Watakubali kumaptia nafasi kubwa kama hiyo mtu wa misimamo kama huyo?
kw kauli kama hii, wake jamaa wanapotuita manyani uwa nashangilia.Mdomo unapoza Sana kwenye Serikali!