Aina ya antivirus yawezasababisha pc ku-run slow?

anjnr

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
539
208
Samahani wadau naomba kuelimishwa kama ku-run slow au faster kwa komputa kunategemea pia aina ya antivirus. Nikitumia avast (free vesion) naona laptop yangu kama inakuwa slow, inaload muda mrefu pia kufungua files inachukua muda hata internet surfing pia. Muda fulani natumia Microsoft security essential, hii naona kama pc inakuwa faster ila inasumbua kuupdate na kitu ambacho sina hakika nacho ni kwamba niki-unistal microsoft essential nikaweka avast na kufanya boot scan inaonesha kuna infected files wakati nikiwa na microsoft essential inaonesha no threats.
Naombeni ushauri, sahz nipo na avast lakini kwa hii speed nashawishika kurudi kwenye microsoft essential.
 
baki na msn essentials because yes, antivirus husababisha computer kuwa slow.hii ni kwasababu antivirus ni memory hoggers (zinatumia RAM balaa) so kama una mashine ambayo ina RAM ndogo, endelea na essentials, haina shida yeyote and best of all its FREEEE :biggrin:
 
baki na msn essentials because yes, antivirus husababisha computer kuwa slow.hii ni kwasababu antivirus ni memory hoggers (zinatumia RAM balaa) so kama una mashine ambayo ina RAM ndogo, endelea na essentials, haina shida yeyote and best of all its FREEEE :biggrin:
Nakushukuru, will do it. But ni kwanini nikiitoa na kuweka avast inaonekana kuna infected files?
 
MSE ni nzuri sana na ya uhakika kama unaona inashindwa kufanya update moja kwa moja nenda ktk website yao na utaweza kudownload update file na ku-run peke yake ila baadae itaendelea vizuri, kuna mcaffee interprise 8.7i ukiweka kwa machine yenye 512 MB memory hapo itawaka masaa kumi
 
anjnr kuna definition nyingi za virus (kutokana na antivirus anyway). nachomaanisha ni kwamba kuna file zingine ambazo antivirus husema ni kirusi wakati sio. hii hutokana na criterion ambayo hizi antivirus hutumia kujua kama file ni virus au sio virus. kumbuka virusi ni sawa tu na files zingine kwa pc sema zinakuwa zina tabia za madhara. virusi zinakuwa na strings (au tuseme commands) ambazo zinazifanya ziwe tofauti.
mmojawapo wa hizi commands ni kujipa read/write capability into system files. yaani kuweza kuji ingiza ndani ya system folders ili zisitolewe. unakuta pia kuna vitu kama cracks/patches na keygen ambazo tunatumia kujipa software na games za bure :biggrin:. hizi cracks zinakuwa pia na attributes za red/write system files coz huko ndo software zinakuwa installed. so kinachofanyika ni kwamba antivirus zingine zinaziona kama kirusi
nachojaribu kusema ni kuwa sio kila kirusi kinachopatikana ndani ya antivirus ni virus na antivirus tofauti zitakupa majibu tofauti (depending on how they are build) so usiwe na hofu kama msn essentials haisemi una kirusi lakini avg inaona kirusi
 
Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom