Aina tano za wanawake wa kuwaogopa

Aina tano za wanawake wa kuwaogopa

(1) Muongo: mwanamke muongo ni mwanamke wa kukwepa zaidi ya Ébola. Mwanamke wa aina hii hulazimisha uongo uwe ukweli na ukweli uwe uongo hata kama uongo wenyewe uko wazi . (2) Muongeaji sana : mwanamke hapendezi kuwa muongeaji zaidi ya mpenzi wake au mumewe.. (3) msaliti : ukiwa na mwanamke wa aina hii ujiandae kupata presha na mwisho wa siku uimbiwe wimbo wa parapanda italia parapanda kabla ya siku zako. (4) Mwenye kisirani) kuna baadhi ya wanawake wana kisirani, yaani mkigombana leo ataongea au kulalamika kuanzia january hadi December. Mwisho kabisa ni mwanamke mwenye kiburi au jeuri,, ukiona mwanamke mweny tabia hizi hata kama umempenda ña kuhisi bila yeye huwezi ishi ni bora ubadilishie gia angani kama ndugu yangu yule.. Maan yatakayokuja kukupata utajuta kuzaliwa maisha yako yote..
 
Kama tabia hizo ziko kwa mwanamme mama naye ajiengue mapema ingawa sio lahisi kuwepo mme wa sifa hizo kwa pamoja ila wapi wanawake waliona zo
 
(1) Muongo: mwanamke muongo ni mwanamke wa kukwepa zaidi ya Ébola. Mwanamke wa aina hii hulazimisha uongo uwe ukweli na ukweli uwe uongo hata kama uongo wenyewe uko wazi . (2) Muongeaji sana : mwanamke hapendezi kuwa muongeaji zaidi ya mpenzi wake au mumewe.. (3) msaliti : ukiwa na mwanamke wa aina hii ujiandae kupata presha na mwisho wa siku uimbiwe wimbo wa parapanda italia parapanda kabla ya siku zako. (4) Mwenye kisirani) kuna baadhi ya wanawake wana kisirani, yaani mkigombana leo ataongea au kulalamika kuanzia january hadi December. Mwisho kabisa ni mwanamke mwenye kiburi au jeuri,, ukiona mwanamke mweny tabia hizi hata kama umempenda ña kuhisi bila yeye huwezi ishi ni bora ubadilishie gia angani kama ndugu yangu yule.. Maan yatakayokuja kukupata utajuta kuzaliwa maisha yako yote..

Kama ni mchepuko, unaweza kuvumilia 1 mpaka 4. Lakini mwenye kiburi/jeuri kwangu ni sumu
 
Back
Top Bottom