jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 24,990
- 22,523
- Thread starter
- #41
Nakubaliana na hoja zako. Kuhusiana na watu kuona kwamba ndiyo njia pekee ya kutajirika wakiteka. Hii huwa inajulikana kama “copycats”. Utekaji ni aina ya uhalifu ambao unahitaji kuwa well organized na makosa machache.Hili la kutangaza dau mezani naona lina faida na hasara kwa maana mtu anaweza jitoa mhanga kuingia kazini au msituni na sehemu zingine za maficho ili kupata utajiri wa ghafla kutokana na hamasa ya kuwa tajiri, na pia ina athari kubwa sana hasa kwa familia za matajiri kwa watu sasa kuona njia pekee ya kutajirika fasta ni kuwateka watoto, au ndugu wa matajiri wakiamini kuwa dau kubwa litatangazwa na kuona jinsi gani watatajirika kiufupi dhana itayokuja hapo ni kuwa kumteka mtoto wa kitajiri ni dili sasa hii ni hatari sana
Copycats haziwezi kuepukwa. Watu wanaiga hadi matukio ya movie kabisa!
Utekaji unahitaji mtandao wa uhakika. Kwahiyo mara nyingi lazima ni aina ya “organized crime”, na siyo swala la mtu kuibuka tu na kwenda kuteka mtu kama anavyofanya lets say mwizi wa mfukoni.