Aina mbalimbali za utekaji nyara: Utangazaji dau unavyoweza kusaidia kwenye uchunguzi (possible scenarios)

Kuna mtu aliyasema haya haya anaitwa E. Soko. Au ndiyo wewe mkuu? Umejitahidi kwenye kuchambua hii kitu.
Hapana mkuu simfahamu huyo E. Soko. Hatahivyo ningependa kusoma na mimi huo uchambuzi wake. Ni kwenye blog?
 
Utekaji chui ama "Tiger kidnapping"
Ikiwa uhalifu unahusisha kuchukua mateka ili kumshawishi atoe ushirikiamo, mfano afanye wizi,au abadili msimamo flani, asaini makubaliano flani nk, basi inajulikana kama tendo la utekaji nyara aina ya “Tiger kidnapping” Katika situation hii, mateka atashikiliwa mpaka pale madai yao yote watekaji hao yatakapokuwa yametimia na mtekwaji kusalimu amri.
cc Roman Israel Esq "tiger kidnapping indeed"
 
Back
Top Bottom