Aina kuu tano za ukahaba

Mm naona kuna malaya wa aina mbili
1. Malaya wa kutoa mzingo kwa sababu anataka ela kwa muhusika
2. Malaya anayetoa mzingo kwa starehe zake.

Malaya anayetoa mzingo kwasababu ya ela au mali,huyu hata akiolewa lazima ataendelea kutoa mzingo coz umalaya for somethings hawa ndio wake za watu wameolewa lakin wanatoa mzingo kwa watu wengine, mfano kazini unakuta mkeo wa mtu anajipeleka kwa maboss ili hapewe cheo,maboss wanakula wake za watu sana.

Lakin huyu malaya wa kutoa mzigo kwa starehe anawezekano mkubwa wa kutulia anapoolewa.

Bora huyu wa starehe anaweza tulia lakin huyu wa after somethings kutulia ngumu maboss watakula mpka basi.
 
sasa mkuu wanawake wote wanaangukia kwenye moja ya hizo aina sidhani kama unawatendea haki
 
Asante kwa maoni yako mazuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…