Vitambi vyote ni ugonjwa na ujinga maana unapata Kitambi kutokana na kutopangilia mlo wako
aiseee
Kitambi ni matunda ya UFAKAMIZI bila utaratibu......Aina yoyote uliyonayo ujue NI MATOKEO YA UFAKAMIZI BILA STAHA
Tuanze na ww mtoa mada unakitambi aina gan maana km huna
Usingetoa hii mada mm sina aisee
VITAMBI VYA NGONO:A S-confused1:
Na wakuu wa nchi nao vitambi vyao unataka kusema hawapangilii milo yao vizuri!
wakuu kuna aina kuu 8 za vitambi kama ifuatavyo. 1.vitambi vya mawazo. 2.vitambi vya umasikini. 3. Vitambi vya utajiri. 4. Kiroba tumbo. 5. Vitambi vya madeni. 6. Vitambi vya umbea. 7. Vitambi vya madeni. 8. Vitambi vya ngono. Je wewe mwana jf una kitambi cha aina gani?