Mwiyuzi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2011
- 853
- 440
Poleni na majukumu wana jamvi!
Nina kiasi cha laki tano, ninaomba kujuzwa juu ya aina ya friji yenye milango miwili ambayo ni nzuri na ninaweza kuinunua kwa hela niliyonayo.
Niko Dar es salaam, nitashukuru nikielekezwa pia maduka yenye hizo friji pia.
Natanguliza shukrani!