AINA IPI YA COMPUTER [LAP TOP] NI NZURI?

AINA IPI YA COMPUTER [LAP TOP] NI NZURI?

Kibirizi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2011
Posts
604
Reaction score
149
Mambo!
Aisee ni computer [Laptop} gani ambayo ni nzuri kwa maana ya kudumu na muonekano mzuri, na kwa Dar es Salaam ni sehemu gani ninaweza pata ambazo ni original.
 
mimi nina 600,000 nataka computer kwa kazi za kawaida tu
 
Nunua dell mkuu iko njema sana.

Nilikuwa na Toshiba aisee inachemka hatari, mda wote iko kwenye charge ukichomoa tu na yenyewe inazima.
 
Nunua dell. Hizi zinakaa na chaji mpaka masaa 8. Trna ukipata Latitude E6430 ama ya juu yake hutajuta. Ziko bomba sana
mimi nina 600,000 nataka computer kwa kazi za kawaida tu
 
Back
Top Bottom