Aina hii ya wanawake wakae mbali na mimi

Maneno ya hekima haya!
 
Kwangu mapenzi nyanaanza na maumbile na maumbile ndio kigezo kikuu, hayo mengine ni yako. Usitake mimi nifanye unachokiwaza wewe, kila mtu ana upendeleo wake kwenye mambo yake.
Uzi huu umeleta mwenyewe bila shuruti so kubali criticism, la sivyo haina maana kuleta Uzi huu hapa.
Kwangu mapenzi nyanaanza na maumbile na maumbile ndio kigezo kikuu, hayo mengine ni yako. Usitake mimi nifanye unachokiwaza wewe, kila mtu ana upendeleo wake kwenye mambo yake.
 
Akaombe msamaha kwa Mungu kabisa coz atabadilishiwa mawazo yake usiku huu kesho aangukie pua[emoji3]
 
We ukiwa unasema hivyo wenzio tunasema 'achumbile Mungu cha kumemena'!
Haina kubagua labda anayejibagua mwenyewe!
 
Unaweza kuchagua sana na kumchambua sana binadamu mwenzako mungu anaweza kesho yako akakugeuza kiumbe cha ajabu na hao ulio wakataa ndiyo wakawa msaada kwako ni hayo tu
 
Teh teh teh acha Ku panic vitu vidogo vidogo hivi mdogo wangu mwanaume gani unakua na tabia za kushoboka namna hii,eti non of ur business!!! So what?? Nani alikwambia uje ujidabue humu
Wewe short chesis na flat screen kaa mbali na mimi, nipanic kwa kipi hasa kwa mfano?!!!.

Kama unajua uko kwenye kundi la watu niliosema wakae mbali na mimi sina namna ya kukusaidia, ndivyo ilivyo.
 
Napenda sana mwanamke ambae yuko kama avatar ya Paprika[emoji121] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nashangaa najikuta napendwa na short chesis tena za Pajero[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…