Aina hii ya simu, nikiagiza haziwezi kuleta shida bongo?

Agiza tu mzee ili na sisi tupate uhakika kama itakuwa kweli inakiwango hicho kwa hiyo bei... 4RAM 64GB
10000mh
 
Hivi ukiagiza mzigo Aliexpress unachukua mda gani kukufikia
 
Vimeo mkuu soma comments za clients simu unakua kiliachoandikwa sicho labda ununue brands za kueleweka kama xiomi, huawei n.k
 
Vimeo mkuu soma comments za clients simu unakua kiliachoandikwa sicho labda ununue brands za kueleweka kama xiomi, huawei n.k
Ngoja labda tuendelee kupata elimu kabla ya kufanya maamuz lkn nadhan dunian bado kuna cm nzur sn zaid ya tunavoaminishana na hta hao xiomi sidhan kama mwanzon watu walikua wanazinunua lkn walivotokea watu wachache na kuzinunua ndio sifa zikaanza miminika
 
Soma reviews maana mimi naagizaaga vitu aliexpress, reviews ni muhimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…