BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,554
- 9,246
Nadhani unachanganya na black mamba (koboko), Cobra sumu yake si kali sana na wengi wamepona ila huyo black mamba kupona ni vigumu ila inawezekana .
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hao wote chamtoto huyu ni noma anapatikana tanzania Joka Poli Magogoni
Anapendelea kukaa kwenye magogo
VP wakingata wanasumu or hawana? ila wanarangi nzuri sana
Iv kwa apa tz aina hiii ya nyoka wapo?View attachment 446937View attachment 446938
Pori gani?(location tafadhali mkuu)..Wapo ila mpaka uende kwenye misitu mikubwa, baadhi yao nimewahi kuwaona wakati tunaenda kuwinda wanyama polini
Mapori ni mengi tu mkuu, sio lazima uende mapori niliyoenda mimiPori gani?(location tafadhali mkuu)..
Mboni ya Jicho la nyoka ndiyo huwatofautisha Mwenye sumu kali(Hatari) na sumu ya wastani(ambayo madhara yake siyo makubwa)..Nyoka mwenye mboni iliyosimama kama punje ya Mchele ni hatari sana akikung'ata ukachelewa matibabu...hawa wenye mboni ya duara wana sumu lakini haina madhara hatarishi ya muda mfupi...japo nao wana sumuhapo wataalamu wa mambo ya snake venom huwa wanahesabu ile miramba ambayo IPO juu ya kichwa kwafano miramba nane juu ya kichwa nyoka huyo ni hatari kwa maisha yako napia huwa wanaangalia morphology ya tumbo lake
Yes wakati huo wanaume wa darisalama watusaidie kuhusu mihogo ya kuchoma,ndimu na pilipiliWanaume wa mikoani watakusaidia sn kwny hili
Mkuu umemsahau BLACK MAMBA!!! Navyojua Huyu ndiye nyoka hatari duniani' na usiombe ukutanenae kaka....
View attachment 447279
Mkuu kwani ukikutana na nyoka utapata huo muda wa kuangalia mboni.Mboni ya Jicho la nyoka ndiyo huwatofautisha Mwenye sumu kali(Hatari) na sumu ya wastani(ambayo madhara yake siyo makubwa)..Nyoka mwenye mboni iliyosimama kama punje ya Mchele ni hatari sana akikung'ata ukachelewa matibabu...hawa wenye mboni ya duara wana sumu lakini haina madhara hatarishi ya muda mfupi...japo nao wana sumu
Pori gani?(location tafadhali mkuu)..
Mapori ni mengi tu mkuu, sio lazima uende mapori niliyoenda mimi
paka pia wana sumu kali? Mamba ana sumu kali? Ukali wa sumu hutegemea diet anayokula mfano nyoka anayefugwa na aliye msituni sumu zao huwa tofauti, pia aina ya nyoka ndiyo unatakiwa uwe nayo attention na siyo mboni.Mboni ya Jicho la nyoka ndiyo huwatofautisha Mwenye sumu kali(Hatari) na sumu ya wastani(ambayo madhara yake siyo makubwa)..Nyoka mwenye mboni iliyosimama kama punje ya Mchele ni hatari sana akikung'ata ukachelewa matibabu...hawa wenye mboni ya duara wana sumu lakini haina madhara hatarishi ya muda mfupi...japo nao wana sumu
Dsm mtaa wa kariakoo.Kwa mfano mkoa gani kaka
Iv kwa apa tz aina hiii ya nyoka wapo?View attachment 446937View attachment 446938
Coral snake
Huyu ni muongo ina maana hujamuona hata huyo kipili/kifutu au hao kobrahao nyoka hawana sumu kabisaaaaaa
mkuu kuna kutabu nilisoma ndio maana nasema hivyo kuhusu miraba ya kichwa na morphology ya tumbo zao ndio INA determine kiwango cha sumu Ila sikuona mwandishi kazungumizia macho hata kuna Python wanakuwa na macho kama uliosema wewe Ila ni nonvenomousMboni ya Jicho la nyoka ndiyo huwatofautisha Mwenye sumu kali(Hatari) na sumu ya wastani(ambayo madhara yake siyo makubwa)..Nyoka mwenye mboni iliyosimama kama punje ya Mchele ni hatari sana akikung'ata ukachelewa matibabu...hawa wenye mboni ya duara wana sumu lakini haina madhara hatarishi ya muda mfupi...japo nao wana sumu
Smart phone in 1996 mazee !??Usingemsogelea ukuwa na smart phone ? Ungempiga picha utarii huo .siku nyingine ukiona jambo la ajabu kwako piga picha kwa akiba alafu chunguza
..Ni kweli huo muda hautopatikana lakini hapa tunapeana viashiria vya nyoka yupi mwenye sumu hatarishi kwa kumtambuaMkuu kwani ukikutana na nyoka utapata huo muda wa kuangalia mboni.
Ni mojawapo ya viumbe hatari sana kwa binadamu ukiona nyoka lazima kwanza utaenda mbali kabla ya kuchukua maamuzi mengine
..Hatubishani fanya Utafiti juu ya hicho nilichokiandika....paka pia wana sumu kali? Mamba ana sumu kali? Ukali wa sumu hutegemea diet anayokula mfano nyoka anayefugwa na aliye msituni sumu zao huwa tofauti, pia aina ya nyoka ndiyo unatakiwa uwe nayo attention na siyo mboni.