Complex
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 4,120
- 4,788
Mkuu siku zote Rating ya Vifaa vinavyotumia A.C wanatumia RMS values so huna Haja Kufanya conversions. Kwahiyo mkuu Makbel yupo sahihi kabisa.
kaka kwa hiyo unataka kusema katika line za tanesco line to neutral voltage katika RMS ama ni AC ya kawaida.?
huoni kama hizo figure za heater yake (1500w/220v na 10/16A) alizowaka jamaa ni kwamba ukizichukulia kama RMS value ni kwamba hazitawiana kwa maana kwamba ;
1500w/ 220v = 6.8A.?
Kitu ambacho kinapingana na hiyo range ya 10/16A iliyoandikwa kwenye hiyo heater yake. Kwa muono wangu nadhani Mkuu kaka' yupo sahihi kwani ameweza thibitisha hilo kimahesabu pia.
Hebu nipe elimu kidogo kaka.