Pole sana! Kwanza soma hita ina watts ngapi? Kama ina 1,800w/220v ambayo utapata 8.18Amps. Hapo utakuwa na chini ya 13Amps ambayo ni rating ya kawaida kwenye switch socket. Ukitumia top plug na switch socket ya 15A si vibaya mwingine itakuwa bora. Kikubwa hakikisha wire wa heater, switch socket na top plug vyote ni original ili kuondoa heating kwenye wire na hivyo vifaa vingine.

heater yenyewe imeandikwa 10/16 A
af ni watt 1500/220v ilikuwa inanitisha hyo 10 over 16A ila naona huenda ipo katikati ila haijafika 16A ILA KINGINE MSAADA NTAJUAJE SOCKET SWITCH NI 15A NA MADUKANI WANATOFAUTISHA KWA MAJINA?
0.707 umetumia fomula gani kuipata mkuu?
Mkuu kinadharia (concept) uko sahihi, ila kwa kuongezea tuu hapo katika hizo calculation uliyomwambia ajaribu kufanya. Ni kwamba umeme wa majumbani ni A.C hivyo anatakiwa aubadili kwenda katika RMS(root mean square) standards za vyote current na Voltage ndio atakuwa sahihi zaidi.
Voltage RMS 〓 0.707 * Voltage in A.C
Natumia hita kila baada ya wiki kadhaa inayeyuka, nimejaribu kuweka pamoja na multi plug ya tronic ila bado imeyeyuka je nitumie ipi jamani? Kuna jamaa kanishauri nijaribu socket switch ambayo ni round! Msaada wenu plz?
Mkuu nilitaka nikushauri ila maelezo yameniacha njia panda sijaelewa ni kitu gani kati ya heater na socket kinachoyeyuka. Kama ni Heater ni sehemu gani inayeyuka?
Ok nimekupata sasa tatizo lako litakuwa kati ya Haya hapa(Assumption: Unatumia Immersion Type water Heater)kinachoyeyuka ni socket switch mkuu! Mara nyingine pamoja na multiplug kwahyo tatizo ni socket switch na huwa inaskika harufu kabisa na mwisho wa siku hata on/of button inaganda kabisa kutokana na kuwa imeyeyuka na kuganda ni hvyo!
unampoteza mwenzako.mtoa mada usichanganywee na hao mainjinia hapo juu na vimahesabu vingiiiii,, lkn mwisho wa siku magorofa yanaporomoka, fanya kitu kimoja nenda tronic pale moro road, waambie naomba dp switch 15am, tafuta fundi akufungie ahakikishe isiwe loose. hitter yako ni ndogo yani yakawaida hiyo inatosha.