ismail hassan
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 704
- 1,651
Upo sahihi ibaki hivyo hivyoAina gani ya kozi itamfaa huyu dogo?
Nina mdogo wangu kachaguliwa
1.IAA kozi ya Accountancy in IT
2. Transport and Logistics NIT
3. Business administration ,innovation and entrepreneurship MZUMBE.
Aende kozi gani kati ya hizo? naombeni mchango wenu. mimi nimezipanga kama nilivyomshauri namba moja nikaipa IAA 2.NIT na3. ya mzumbe.
Aende Uhasibu na Tehama (BAFIT) hii ni multipurpose Taasisi yoyote lanzima iwe na mhasibu na Tehama.Aina gani ya kozi itamfaa huyu dogo?
Nina mdogo wangu kachaguliwa
1.IAA kozi ya Accountancy in IT
2. Transport and Logistics NIT
3. Business administration ,innovation and entrepreneurship MZUMBE.
Aende kozi gani kati ya hizo? naombeni mchango wenu. mimi nimezipanga kama nilivyomshauri namba moja nikaipa IAA 2.NIT na3. ya mzumbe.
Zote kasema anazipenda mana kabla ya kuomba tulizipendekeza hizo.Achague kozi yake mwenyewe kutoka moyoni
Aende Uhasibu na Tehama (BAFIT) hii ni multipurpose Taasisi yoyote lanzima iwe na mhasibu na Tehama.
Akiamua kujiajiri kwenye masuala ya Tehama fres
Kwa mtazamo wangu, mpangilio wako una mantiki. IAA Accountancy in IT inaweza kumpa mchanganyiko mzuri wa accounting na IT.Aina gani ya kozi itamfaa huyu dogo?
Nina mdogo wangu kachaguliwa
1.IAA kozi ya Accountancy in IT
2. Transport and Logistics NIT
3. Business administration ,innovation and entrepreneurship MZUMBE.
Aende kozi gani kati ya hizo? naombeni mchango wenu. mimi nimezipanga kama nilivyomshauri namba moja nikaipa IAA 2.NIT na3. ya mzumbe.
Mkuu siyo Kila mtu anaweza kusoma sayansi,uhasibu pia ni kozi nzur tuHizo zote hazina maana.
Mpeleke Veta akaanze na certificate ya umeme ama mechanical.
Kwakua mdogowako alikua na uwezo mdogo ndiomaana hakuchaguliwa vyuo vya sayansi, nashauri ufuate ushauri wangu na utakuja kunishukuru
Uhasibu sio kazi nzuri mkuu...Mkuu siyo Kila mtu anaweza kusoma sayansi,uhasibu pia ni kozi nzur tu
No.1 iyo: IAAAina gani ya kozi itamfaa huyu dogo?
Nina mdogo wangu kachaguliwa
1.IAA kozi ya Accountancy in IT
2. Transport and Logistics NIT
3. Business administration ,innovation and entrepreneurship MZUMBE.
Aende kozi gani kati ya hizo? naombeni mchango wenu. mimi nimezipanga kama nilivyomshauri namba moja nikaipa IAA 2.NIT na3. ya mzumbe.
sawa mkuu😁Hizo zote hazina maana.
Mpeleke Veta akaanze na certificate ya umeme ama mechanical.
Kwakua mdogowako alikua na uwezo mdogo ndiomaana hakuchaguliwa vyuo vya sayansi, nashauri ufuate ushauri wangu na utakuja kunishukuru
sawa mkuu😁baHizo zote hazina maana.
Mpeleke Veta akaanze na certificate ya umeme ama mechanical.
Kwakua mdogowako alikua na uwezo mdogo ndiomaana hakuchaguliwa vyuo vya sayansi, nashauri ufuate ushauri wangu na utakuja kunishukuru
bachelor mkuuJapo hujaeleza ni ngazi gani.
Ushauri; Apige Accountancy ina ahueni hapo, kama ana maksi nzuri, anaweza kupiga BAF (Bachelor of Accounting and Finance-Mzumbe).
sana mkuuKwa mtazamo wangu, mpangilio wako una mantiki. IAA Accountancy in IT inaweza kumpa mchanganyiko mzuri wa accounting na IT.
NIT Transport & Logistics ni nzuri pia, hasa kama ana interest kwenye logistics na supply chain.
Mzumbe nayo ni nzuri, ila Business Administration ni pana zaidi. Mwisho wa siku aangalie zaidi uwezo na interest yake, maana kozi nzuri bila interest inaweza kuwa changamoto.
Aende VETAAende kozi gani kati ya hizo?
Hizo zote hazina maana.