Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 61,023
- 36,865
✍️Ameandika Chris Mauki ( Mtaalamu wa Saikolojia na Mahusiano)
KUNA AINA TATU (3) ZA WANAWAKE KWENYE MUKTADHA WA HISIA ZA TENDO, KILA MWANAUME UNAPASWA KUFAHAMU HII ITAKUSAIDIA KUMUELEWA MWENZA WAKO YUPO KUNDI GANI
1️⃣AINA YA KWANZA ya Mwanamke ni Yule ambaye yeye ana hamu Muda wote ( Yaani ndio nature yake )
Huyu hata mgombane vipi mkimaliza ugomvi anataka Tendo, tena wakati mwingine anaweza suluhisho Ugomvi wenu kwa sex.
Hasumbui katika kukupa tendo, tena huenda yeye ndio akakukumbusha
2️⃣AINA YA PILI ni yule mwanamke ambaye ni yupo mguu ndani, mguu nje. Sometimes wamoto Sometimes wabaridi.
Leo Ana hamu ya tendo au maneno matamu, lakini kesho hataki kusikia masuala ya mapenzi ni kazi kazi.
Yaani Huyu unamvizia Na anakuwa na Muda wake Maalumu tu. Kwahiyo Lazima ujue leo Baby ana hamu lazima niichape, Lakini Kesho atakuwa kauzu, hivyo lazima uendane na Mood yake.
3️⃣AINA YA TATU ni yule Mwanamke Ambaye tunamuita KAUZU au MKAKSI, yaani hataki Kusikia maneno matamu wala meseji za mapenzi. Muda wote anawaza VICOBA, Marejesho na Biashara zake tu.
Yaani Ikitokea Siku Amekutunuku Basi Unashukuru, Maana hata nyonyo hataki aguswe 😂Wala Kukumbatiwa
🫵NIKUPE SIRI YA KUMU ACTIVATE au KUAMSHA HISIA ZA HUYU WA TATU FANYA YAFUATAYO KAMA UPO NA HUYU.
1. Anza Kumuandaa Kisaikolojia Masaa 24 Kabla ya Tendo
2. Mpe Vizawadi na Mtoe Out Siku Moja kabla ya Tendo
3. Kama Ana Kipengele au Shida, kama wewe ni Mume wake Msaidie Kutatua Chap sana MFANO Leo Mpe Pesa ya MCHEZO, KIKOBA au Marejesho Mbona atakufurahia, na Usiku HuoHuo atakutunuku😂
⚠️NB
● Fanya Hayo Ikiwa ni Mkeo tu au Kwa Mtu Unayetarajia Kumuoa🙌
● Mara Nyingi Aina Hii Ya 3 wanaboa Lakini, Ukimuweka kwenye Biashara ni kazi kazi tu..