WAKUNJOMBE JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 633 Reaction score 678 Mar 23, 2011 #2 Ufisadi kwanza ........tick
super thinker JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 371 Reaction score 110 Mar 23, 2011 #3 kwenye kilimo kwanza afute W na N kwenye kwanza......:smash:
Venant Ben Senior Member Joined Nov 29, 2010 Posts 155 Reaction score 10 Mar 24, 2011 #4 :behindsofa:
boma2000 JF-Expert Member Joined Oct 18, 2009 Posts 3,321 Reaction score 318 Mar 26, 2011 #5 Ndibalema said: Click to expand... i like this creativity
mfereji maringo JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 1,043 Reaction score 263 Mar 26, 2011 #6 anzisha mkakati mpya "bongo flavour mbele kama chanzo mbadala cha ajira" utarudi kwenye chati hasa kwa kundi la vijana ambao wengi wamewakimbia na kwenda chadema
anzisha mkakati mpya "bongo flavour mbele kama chanzo mbadala cha ajira" utarudi kwenye chati hasa kwa kundi la vijana ambao wengi wamewakimbia na kwenda chadema
Omukuru JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 242 Reaction score 41 Mar 26, 2011 #7 Kwenye UONGOZI BORA futa "ZI", kinachobaki ndicho serikali inakitekeleza
Paul Kijoka JF-Expert Member Joined Oct 25, 2010 Posts 1,399 Reaction score 256 Mar 26, 2011 #8 Katuni hii inapendeza sana. Inatuonesha jinsi rais wetu alivyo.