- Joined
- Mar 17, 2008
- Messages
- 30,266
- Likes
- 16,035
- Points
- 280

Elli
JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2008

Kila ifikapo tarehe fulani fulani watu hukumbuka matukio fulani, leo ni siku ya Kupinga kuenea zaidi kwa UKIMWI je ndugu zangu tumejifunza nini? Binafsi mimi nimejifunza na kujikumbusha yafuatayo (japo nafanya hivyo kila siku)
Hatutaokolewa na Condom, iwe Dume au Jike; Rough Rider au Smooth Rider, Lady Pepeta au Lady Twanga
Nimepoteza marafiki zangu wapatao sita wengi wakiwa wamezikwa katika early twenty's, Pumzikeni Kwa amani, mmoja akiwa kidato cha pili tu!!!!
Kwamba, AIDS haichagui wala haibagui
Kwamba ni lazima kuwe na NIA ya dhati ya kubadilisha Tabia
Kwamba, ongezeko la watoto yatima linatisha as a result ya kupoteza Wazazi wao kwa AIDS
Kwamba wapo watu wanaoambukiza wengine kwa makusudi
Kwamba Nguvu kazi ya Taifa inapotea
Kwamba ugonjwa huu umegeuzwa biashara
Kwamba makaburi ya wapendwa waliolala bila hatia ni wengi kwa kulishwa dawa zisizo kidhi mahitaji
Kwamba hata condom nyingi tunazotumia zimeisha muda wake wa matumizi
Kwamba hakuna juhudi zozote za kuokoa Vijana walioko mashuleniKwamba, kwa sasa idadi ya Vijana au tuwaite watoto below 20 ambao ni victim ni wengi kuliko inavyoweza au ilivyowahi kudhaniwa.
Kwamba hakuna juhudi za dhati miongoni mwetu kukomesha hali hii na baya zaidi NGO nyingi kama si zote zipo kimaslahi zaidi.
Je wewe umejikumbusha na kuwambusha wengine kitu gani?