mcndomba maprosoo
JF-Expert Member
- Apr 8, 2013
- 225
- 94
Hii ni hatari ndio maana wakawaacha waongee hadi watoke mapovu alafu waitoeBaada ya upotoshaji mkubwa kufanywa bungeni na watu wasio itakia nchi yetu mema wakiwa wameongozwa na Tundu Lissu. Sasa watu hao wamepata aibu ya mwaka baada ya Ikulu kusambaratisha upotoshaji wao.
Tundu Lissu na genge lake la waongo wamekuwa wakipotosha bungeni kuwa muungano wa Tanganyika na Zanzibar haupo kisheria kisa hakuna hati ya muungano huo. Jambo ambalo limepingwa vikali na Ikulu tena kwa kutoa uthibitisho wa uwepo wa hati hiyo ya muungano.
Lissu na genge lake la wahuni watafute uongo mwingine, maana huu wa upotoshaji juu ya hati ya muungano hauna tena soko. Tuipe pongezi Ikulu kwa kukata mzizi wa fitina.
Hivi bila mawazo ya Nyerere na Karume huwezi fanya chochote? mawazo mgando haya. Uliambiwa kuwa hao ndo Mungu? Angalia zama kijana na hiyo si misahafu kwamba lazima tuendelee kuishi kama walivoweka wao.
CHADEMA ni chama cha waendawazimu. Wao hawajui siasa za propaganda hazina nafasi tena. Hoja ya Muungano itawaacha hoi bin taaban. Wawaulize wenzao CUF kilichowapata. Na tena CHADEMA 2015 kitafutika katika ramani.Baada ya upotoshaji mkubwa kufanywa bungeni na watu wasio itakia nchi yetu mema wakiwa wameongozwa na Tundu Lissu. Sasa watu hao wamepata aibu ya mwaka baada ya Ikulu kusambaratisha upotoshaji wao.
Tundu Lissu na genge lake la waongo wamekuwa wakipotosha bungeni kuwa muungano wa Tanganyika na Zanzibar haupo kisheria kisa hakuna hati ya muungano huo. Jambo ambalo limepingwa vikali na Ikulu tena kwa kutoa uthibitisho wa uwepo wa hati hiyo ya muungano.
Lissu na genge lake la wahuni watafute uongo mwingine, maana huu wa upotoshaji juu ya hati ya muungano hauna tena soko. Tuipe pongezi Ikulu kwa kukata mzizi wa fitina.
naamini kuna na wengine ambao kama ulivyo wewe, hamkumwelewa tundu lissu alikuwa anasema nini. Ila kwa tuliomwelewa anachokifanya kinakubalika.
Kupatikana kwa hati ya muungano siyo kitu kigumu kiasi cha serikali bila aibu kudai iko un! Kwamba mnataka tueleweje? Ukipangishwa nyumba mkataba anakaa nao mwenye nyumba au?
Chochote ambacho kilisemwa ni baada ya kigugumizi cha serikali kuitoa hati hiyo, hata pale ambapo iliombwa na kamati za bunge maalum la katiba! Ni serikali ya ajabu na iliyojaa upuuzi inayoweza kufanyia mzaha hata swala kama hilo. Vinginevyo ni wazi kuwa nia ya serikali haikuwa njema kwa kuificha hati hiyo.
Hata sasa, pamoja na kutolewa kwa hati hiyo kila mwenye akili timamu anapaswa kujiuliza hati hiyo ilikuwa wapi? Na huko ilikokuwa ilikuwa inafanyiwa nini ndo itolewe leo? Ni kweli watanzania wanapaswa kuiamini hati hiyo? Je! Hati hiyo iliyotolewa pamoja na kufichwa kote huko ni hati halisi na halali?
Nasikitika kuna wanaofikiria kama wewe out there!
Ni aibu kwa Ikulu kutoa hati hiyo baada ya watu kuidai kwa nguvu kubwa.
Kifuatacho ni kujibu maswali haya ya Lissu
1.Je,hati hiyo ni halali
2.Kama hati hiyo ni halali,je muungano huu ni halali?
Hayo ndio maswali ya Lissu yanayosubiri majibu

Hao akina Lissu, Jussa wenzao na wale wazee wa Pemba wanaodai hati ya makubaliano ya muungano utadhani ni majuha. Nyerere na Karume walisaini makubaliano hadharani na kumbukumbu za kitendo hicho ziko kwenye still na moving pictures. Hata kama hati ya makubaliano iliyotiwa sahihi ingepotea sio sababu kusema eti muungano ni batili kwa kua tu hati ya makubaliano haijulikani ilipo. Ni majuha tu wanaoweza kushikilia bango eti muungano ni batili baada ya miaka 50 kwa kua wanaamini hati hiyo imepotea.Je muungano huu ni halali?
Hati hii ni halali?
Sahihi ya nyerere ni halisi?
Sahihi ya karume ni halisi?
Laiti ungalikua na uelewa mdogo wa sheria ingekusaidia sana mkuu,sawa hata kama hati imeonyeshwa japo bado inaacha mashaka is it valid? If not then can be void ab initio,hence again no contract at all
Hoja muhimu kuliko zote, hata kama hati ipo, je, lipo wapi azimio la baraza la mapinduzi kuidhinisha muungano? Kama halipo zanziba hawakuridhia muungano kihalali
Baada ya upotoshaji mkubwa kufanywa bungeni na watu wasio itakia nchi yetu mema wakiwa wameongozwa na Tundu Lissu. Sasa watu hao wamepata aibu ya mwaka baada ya Ikulu kusambaratisha upotoshaji wao.
Tundu Lissu na genge lake la waongo wamekuwa wakipotosha bungeni kuwa muungano wa Tanganyika na Zanzibar haupo kisheria kisa hakuna hati ya muungano huo. Jambo ambalo limepingwa vikali na Ikulu tena kwa kutoa uthibitisho wa uwepo wa hati hiyo ya muungano.
Lissu na genge lake la wahuni watafute uongo mwingine, maana huu wa upotoshaji juu ya hati ya muungano hauna tena soko. Tuipe pongezi Ikulu kwa kukata mzizi wa fitina.
Majanga!Moved: News Alert: Lissu aadhirika-Hati ya Muungano ipo!
Started by masopakyindi, Today 20:24
Moved: No Research No right to Speak: Aibu kuwakumba Kina Tundu Lissu et al..bungeni
Started by COARTEM, Today 20:53
I don't care about Nyerere nor Karume!! Nashangaa wewe na wanasiasa uchwara mnataka hati miaka 50 baada ya muungano. Hivi kwa akili yenu muungano ungeweza kuepo bila articles of union???
Majanga!Moved: News Alert: Lissu aadhirika-Hati ya Muungano ipo!
Started by masopakyindi, Today 20:24
Moved: No Research No right to Speak: Aibu kuwakumba Kina Tundu Lissu et al..bungeni
Started by COARTEM, Today 20:53
Duh wewe ndo umekwenda shule ukamaliza hadi tuishen.Sijui kama unafahamu unaweza kusoma usielimike..na hili ndo nnaloliona kwako!Kama ujui kusoma hilo sio tatizo langu.
Jambo la kufanya ni kuwalaumu wazazi wako ambao wameshindwa kukusomesha.
Who knows, huenda hata wazazi wako hawakwenda shule so hawakuona umuhimu wa ikukupeleka shule.
Je muungano huu ni halali?
Hati hii ni halali?
Sahihi ya nyerere ni halisi?
Sahihi ya karume ni halisi?