AIBU YA MTU MWEUSI: Chama Cha Siasa Kuwa Omba Omba Kwa Wazungu Ili Kupata Pesa !!!

Sasa unaemlaumu nani? Ilaumu serikali ya ccm hata baada ya kupewa dhamana ya kuongoza nchi kwa miaka 50 bado nchi ni maskini ya kutupwa pamoja na watu wake
 
Yaani Unakuta Mtu Mzima, Una Familia Yako Na Watoto Na Unaongoza Chama Cha Siasa, Unakiendesha Kwa Kwenda Kuomba Omba Kwa Wazungu - Unapiga Piga Domo Pale Na Majungu Ili Wakusaidie Chochote

- Sasa Kama Kuendesha Chama Mtu Unajikomba Komba Kwa Wazungu, Nchi Itakuwaje

- Na Unapokuwa Unaomba Inakuwa Unadhalilika Sana, Sijui Hata Wazungu Wanakuonaje ???
kweli ccm tabia ya kuombA omba wanaipenda sana
 
Sasa unaemlaumu nani? Ilaumu serikali ya ccm hata baada ya kupewa dhamana ya kuongoza nchi kwa miaka 50 bado nchi ni maskini ya kutupwa pamoja na watu wake
Kwahiyo CCM Ndio Inamfanya Kengeza Kwenda Kupiga Domo Kwa Wazungu Apewe Chochote Na Maselfie Kibao
 
Kunywa maji shusha povu mkuu, mpaka leo bajeti inayoendesha maisha yako ni ya kuomba kwa mzungu, hata utafiti wa zika mmeukataa kwa kuwa WHO shirika lililoasisiwa na wzungu hawajathibitisha unashangaa cham cha siasa? Hata kukuklinda na maleria tu nchi hii inasaidiwa kwa hisani ya watu wa marekani ili wewe upate net, kajipange uje kivingine kwa hapa umechemka sana.
 
are you serious kweli! chadema ombaomba kwa vigezo gani?! chadema inaweza kuishi bila hata ruzuku na ujanja ujanja lakini CCM na machinery yake ilivyo kubwa lazima washindwe kujiendesha. CCM bila vitisho usitegemee matajiri watachangia, CHADEMA kwa mapenzi yao watu wanachangia. it is a proven fact
Kwa hiyo ccm ikiwa ombaomba na chadema nao lazima wawe ombaomba??

Sasa utofauti wa chadema na ccm ni nini?

Kwa nini tuache kuchagua ccm ombaomba, tukachague chadema ombaomba??
 
Kwa Hii hoja Yako ya kipuuzi sidhani kama utaingiza buku 7 leo. Maana mabosi wako hapo Lumumba umewaumbua coz wao ndio wameendesha nchi yenye rasilimali za kutosha kwa zaidi ya nusu karne kwa kutembeza bakuli.
 
Ama kweli nchi hii imejaza wajinga. Yaani huyu ndio thinker katumwa na chama chake kuleta utumbo huu hapa? Deni la nchi ni over 50t sasa bado Boss wenu kachukua tena mkopo wa Billion 360 kutoka benki ya maendeleo ya Africa akidai una masharti nafuu ili kupata hela ya bajeti ya 2016/2017. Je zimeenda wapi zile tirions mnazotangaza TRA kila mwezi? Ziko wapi pesa za wafanyakazi mlizowachukulia kwa mabavu majuzi kupitia mifuko ya jamii? Kweli kazi ipoooo kwa Fisiyemuuuuuu.
 
Kunywa maji shusha povu mkuu, mpaka leo bajeti inayoendesha maisha yako ni ya kuomba kwa mzungu, hata utafiti wa zika mmeukataa kwa kuwa WHO shirika lililoasisiwa na wzungu hawajathibitisha unashangaa cham cha siasa? Hata kukuklinda na maleria tu nchi hii inasaidiwa kwa hisani ya watu wa marekani ili wewe upate net, kajipange uje kivingine kwa hapa umechemka sana.
Vinazungumziwa Vyama Vya Siasa Hapa - Kwanini Usijilazimishe Kuelewa Tu ?
 
huku mikoani wanaomba (tamka wanalazimisha) michango toka kwa wafanyabiashara binafsi inapotokea wanakuwa na event eg ugeni, kikao, mkutano nk
 
Vinazungumziwa Vyama Vya Siasa Hapa - Kwanini Usijilazimishe Kuelewa Tu ?
Acha kujitoa ufahamu wewe kwani vyama vya siasa haviko kwenye nchi?1 Hivi unaweza shangaa mtoto kudowea chakula kwa jirani wakati walezi wake ndio wa kwanza kuamkia huko kwa jirani ili wale?! Nchi ikose hela chama kipate hizo hela ni za maruhani?!
 
Kwahiyo CCM Ndio Inamfanya Kengeza Kwenda Kupiga Domo Kwa Wazungu Apewe Chochote Na Maselfie Kibao
Serikali maskini, watu maskini, then vyama maskini. Sasa huoni hiyo chain imesababishwa na chama gani kama si serikali za ccm?
 
Ama kweli nchi hii imejaza wajinga. Yaani huyu ndio thinker katumwa na chama chake kuleta utumbo huu hapa? Deni la nchi ni over 50t sasa bado Boss wenu kachukua tena mkopo wa Billion 360 kutoka benki ya maendeleo ya Africa akidai una masharti nafuu ili kupata hela ya bajeti ya 2016/2017. Je zimeenda wapi zile tirions mnazotangaza TRA kila mwezi? Ziko wapi pesa za wafanyakazi mlizowachukulia kwa mabavu majuzi kupitia mifuko ya jamii? Kweli kazi ipoooo kwa Fisiyemuuuuuu.
Kengeza Na Mamvi Watakufuta kwenye Payrol Soon Kama utaendelea Kutema Urojo Kama Huu Badala Ya Hoja
 
Ni Kweli Nchi Imeomba Kwa Miaka 55

Chadema Imeomba Kwa Miaka 25 - Almost Fisrt Half

- Ikipewa Nchi Itaomba Na Kujikomba Kwa Miaka 3999999999
Chama gani hapa Tanzania ambacho akiombi? Unajua Wachina wanatoa shilingi ngapi kwa mwaka kuipa ccm ,unajua mavazi na wakati wa kampeini wanatoa akina nani? Unajua China na India walitoa magari mangapi ya aina ya Mahindra? Siku nyingine jaribu kua mkweli sio unasukumwa na hisia za itikadi
 
kujua vilaza ili utemane nao, kwaheli ctokujibu tena

Aisee.......sasa hebu niambie hiyo F ya hisabati niliipata O level, A level, nilipofanya BBA, nilipofanya ACCA, nilipochukua MBA, nilipofanya Msc au katika PhD yangu? Hapo tutakuwa tumemalizana. Ukiweza mtafute Prof Grace Yates atakupa taarifa zangu!
 
Back
Top Bottom