AIBU YA MTU MWEUSI: Chama Cha Siasa Kuwa Omba Omba Kwa Wazungu Ili Kupata Pesa !!!

Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
13,243
2,000
Yaani Unakuta Mtu Mzima, Una Familia Yako Na Watoto Na Unaongoza Chama Cha Siasa, Unakiendesha Kwa Kwenda Kuomba Omba Kwa Wazungu - Unapiga Piga Domo Pale Na Majungu Ili Wakusaidie Chochote

- Sasa Kama Kuendesha Chama Mtu Unajikomba Komba Kwa Wazungu, Nchi Itakuwaje

- Na Unapokuwa Unaomba Inakuwa Unadhalilika Sana, Sijui Hata Wazungu Wanakuonaje ???
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
13,243
2,000
Unaongelea chama wakati nchi yako imekua omba omba kwa miaka 50 tena ikiwa inaongozwa na chama chenu
sijazungumzia nchi, nazungumzia chama cha siasa tena chenye umri wa miaka 25 kupata pesa kwa kujikomba kwa wazungu

- sasa kama chama tu kinaongozwa kwa kujikombakomba na kuombaomba kimatonya, nchi itakuwaje wakati chama ndio kinaongoza nchi ?
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
13,243
2,000
Uwege unafikiria kabla ya kupost, kikwete alisema mwenyewe kua safari zake za nje anarudi na vijisenti, kwan huko alikua anaenda kulima km si kuomba omba? Mpaka ss bajeti yetu inachangiwa na wahisani kwa kiac kikubwa na yote hii ni kwa sababu yenu.
kwahiyo mnamuiga kikwete ?
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
33,546
2,000
Hizi ni kejeli za kikekike. Hapa unazungumza chama cha siasa ama nchi? Halafu unakuta mpuuzi kama ww huna ujanja wowote wa maisha zaidi ya ajira na kitendo cha kukosa ajira miezi 6 tu watu wanamgegeda mkeo.
 
Dec 5, 2016
63
150
sijazungumzia nchi, nazungumzia chama cha siasa tena chenye umri wa miaka 25 kupata pesa kwa kujikomba kwa wazungu

- sasa kama chama tu kinaongozwa kwa kujikombakomba na kuombaomba kimatonya, nchi itakuwaje wakati chama ndio kinaongoza nchi ?
Na mm nakuuliza, km nchi tu inaomba, je chama ambacho kiko ndani ya hiyo nchi kikiomba kinachoshangaza nn hapo. Kwa sababu nchi ni kubwa kuliko chama
 
Dec 5, 2016
63
150
sijazungumzia nchi, nazungumzia chama cha siasa tena chenye umri wa miaka 25 kupata pesa kwa kujikomba kwa wazungu

- sasa kama chama tu kinaongozwa kwa kujikombakomba na kuombaomba kimatonya, nchi itakuwaje wakati chama ndio kinaongoza nchi ?
Ww unaongelea miaka 25, je ninyi mlioanza mwaka 1956 mliacha lini kuomba ili wengine tujifunze?
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
13,243
2,000
Hizi ni kejeli za kikekike. Hapa unazungumza chama cha siasa ama nchi? Halafu unakuta mpuuzi kama ww huna ujanja wowote wa maisha zaidi ya ajira na kitendo cha kukosa ajira miezi 6 tu watu wanamgegeda mkeo.
Wewe Una Ujanja Gani Wa Maisha Zaidi Ya Kufanywa Mtumwa Wa Kengeza - Utaandamanishwa Sana Ndio Jukumu Lako
 
Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
27,357
2,000
Ni Kweli Nchi Imeomba Kwa Miaka 55

Chadema Imeomba Kwa Miaka 25 - Almost Fisrt Half

- Ikipewa Nchi Itaomba Na Kujikomba Kwa Miaka 3999999999
kwanini ccm iombe kwa miaka yote hii wakati tumeipa dhamana na nchi hii ina utajiri wa kila aina
huoni sasa ni wakati muafaka wa chama hichi kuuwawa
kitokomee maana hakuna jambo lolote kinachofanya zaidi ya watu wachahe walioko madarakani kula mali za uma kwa faida ya wake, vimada na familia zao pamoja na ndugu wa karibu?
elimu hatuna !
miundo mbinu hakuna
maradhi kibao ..........zika tu imeleta utata
madawa hakuna mahospitalini
ajira hakuna
pesa hakuna
yaani ccm inatuendeshea hii nchi kama sakos na kikundi cha watu fulani ambao nji hii ni yakwao binafsi
papo hapo kuna viongozi wa serikali hii hii ya ccm wamejilimbikizia mali na wapo radhi hata kuua ili waendelee kuwepo madarakani kwenye nyadhifa ambazo wanazo tangu zamani sana ............

# tokomeza ccm ni janga la taifa
 
Tulimumu

JF-Expert Member
Mar 11, 2013
12,905
2,000
Yaani Unakuta Mtu Mzima, Una Familia Yako Na Watoto Na Unaongoza Chama Cha Siasa, Unakiendesha Kwa Kwenda Kuomba Omba Kwa Wazungu - Unapiga Piga Domo Pale Na Majungu Ili Wakusaidie Chochote

- Sasa Kama Kuendesha Chama Mtu Unajikomba Komba Kwa Wazungu, Nchi Itakuwaje

- Na Unapokuwa Unaomba Inakuwa Unadhalilika Sana, Sijui Hata Wazungu Wanakuonaje ???
Na kama nchi tunavyowategemea wazungu au kama tunavyowaita wahisani kwenye bajeti yetu hapo napo utasemaje mkuu?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom