AIBU YA MTU MWEUSI: Chama Cha Siasa Kuwa Omba Omba Kwa Wazungu Ili Kupata Pesa !!!

Unaitia AIBU sana Chama chako kilichoongoza nchi kwa miaka zaidi ya 50 na bado inaomba omba
 
wewe utakuwa ni njuka kwenye masuala ya siasa. hoja yako ni fupi zaidi ya mtoto wa mbili kimo. vyama vya siasa vina mahusiano ya kirafiki pale falsafa na misingi inapofanana. sio ajabu chama kimoja kusaidia chama kingine ambacho bado ni kichanga. kwenye siasa chama kuwa na umri wa miaka 25 bado kinahesabika ni kichanga. kwa taarifa yako tokea TANU mpaka ikawa CCM imeomba sana misaada kwa vyama vingine. kibaya zaidi kuna nchi zimekuwa zikiichangia CCM kama dola, pia CCM imepokonya mali ambazo watanzania bila kujali itikadi walichangia kwa jasho na mali.

kama unafikiri vyama vya upinzani kuomba msaada kutoka vyama rafiki ni kitu cha ajabu nenda kasome sayansi ya siasa kwa upana wake. CCM imekuwa ombaomba kwa miaka mingi na mwaka jana tu iltembeza bakuli china kwa ajili ya kufadhili mchakato wa kampeni wakati wa uchaguzi, CCM imedhulumu jasho na mali za watanzania pale walipochangia miradi mbalimbali kama ujenzi wa viwanja vya michezo na pia inatumia nafasi iliyonayo kupata nafasi za fursa za kibiashara na nchi zingine.

CCM mpaka leo ni ombaomba. haiwezekani chama kikongwe kama CCM kinazindua ghorofa ya kupanga makazi kwa mbwembwe nyiiingi! watanzania huwa hawataki ujinga hasa njuka kama wewe unapoleta hoja muflisi. tunajua mchele na chuya
 
sijazungumzia nchi, nazungumzia chama cha siasa tena chenye umri wa miaka 25 kupata pesa kwa kujikomba kwa wazungu

- sasa kama chama tu kinaongozwa kwa kujikombakomba na kuombaomba kimatonya, nchi itakuwaje wakati chama ndio kinaongoza nchi ?
Wakipewa nchi hawatokuwa ombaomba kwasababu rasilimali zote watakuwa wanazisimamia..

Chama kama chama hasa cha upinzani hakina rasilimali kinategemea mtu na ruzuku..

Sasa nafikiri ingekuwa vyema na nisingekuona samwamwa kama ungeshangaa serikali iliyopo madarakani zaidi ya miaka 50 sasa kutembeza bakuli ili kupata pesa ya kuendeshea miradi yake.
 
hao waliokutuma ni ombaomba mashuhuri. zile dola la chama cha kikomunisti cha china zilikuwa sio msaada! bado fedha kutoka frelimo, ANC, MPLA na ZANU PF. you are just pathetic trying to find your way through a maze of wapiga kelele. Mungu anakuona jinsi ulivyouza utu wako kwa kuamua kuanika makalio yako ukidhani unajenga hoja ya kum-bomoa adui yako. POOR lumumba soul
 
Kwahiyo Mnawaiga ?
 
sijazungumzia nchi, nazungumzia chama cha siasa tena chenye umri wa miaka 25 kupata pesa kwa kujikomba kwa wazungu

- sasa kama chama tu kinaongozwa kwa kujikombakomba na kuombaomba kimatonya, nchi itakuwaje wakati chama ndio kinaongoza nchi ?
Hebu na wewe uwe unaelewa. Kama baba ni(nchi) ni omba omba unashangaaje mtoto(chama)kuwa omba omba? Chama ni kitu kidogo sana ktk nchi. Kama nchi ingekuwa inajitegemea kusingekuwa na haja ya vyama kutegemea misaada au ruzuku. Mimi nadhani hujawaza vizuri.
 
Uwege unafikiria kabla ya kupost, kikwete alisema mwenyewe kua safari zake za nje anarudi na vijisenti, kwan huko alikua anaenda kulima km si kuomba omba? Mpaka ss bajeti yetu inachangiwa na wahisani kwa kiac kikubwa na yote hii ni kwa sababu yenu.
kweli CCM kiboko yao leo hii kikwete kawa mtukufu na mpendwa kwa wana ukawa dunia haiishi maajabu
 
Yaani Unakuta Mtu Mzima, Una Familia Yako Na Watoto Na Unaongoza Chama Cha Siasa, Unakiendesha Kwa Kwenda Kuomba Omba Kwa Wazungu - Unapiga Piga Domo Pale Na Majungu Ili Wakusaidie Chochote

- Sasa Kama Kuendesha Chama Mtu Unajikomba Komba Kwa Wazungu, Nchi Itakuwaje

- Na Unapokuwa Unaomba Inakuwa Unadhalilika Sana, Sijui Hata Wazungu Wanakuonaje ???
hata nchi zinaomba misaada pia achilia mbali chama, japo sijaelewa unaongelea nani
 
Wakipewa nchi hawatokuwa ombaomba kwasababu rasilimali zote watakuwa wanazisimamia..

Chama kama chama hasa cha upinzani hakina rasilimali kinategemea mtu na ruzuku..

Sasa nafikiri ingekuwa vyema na nisingekuona samwamwa kama ungeshangaa serikali iliyopo madarakani zaidi ya miaka 50 sasa kutembeza bakuli ili kupata pesa ya kuendeshea miradi yake.
Tupe mchanganuo wa matumizi ya ruzuku ya chadema
 
Wakipewa nchi hawatokuwa ombaomba kwasababu rasilimali zote watakuwa wanazisimamia..

Chama kama chama hasa cha upinzani hakina rasilimali kinategemea mtu na ruzuku..

Sasa nafikiri ingekuwa vyema na nisingekuona samwamwa kama ungeshangaa serikali iliyopo madarakani zaidi ya miaka 50 sasa kutembeza bakuli ili kupata pesa ya kuendeshea miradi yake.
Biblia Inasema Kama Mtu Ameshindwa Kuwa Mwaminifu Kwenye Kitu Kidogo Atawezaje Kuwa Mwaminifu Kwenye Kikubwa ?
 
Nchi ikiongozwa na chama hicho kwa miaka hamsini imekua omba omba sembuse kachama ambako kanapigwa vita kila kukichwa na haoa hao Omba omba?
 
wewe utakuwa ni njuka kwenye masuala ya siasa. hoja yako ni fupi zaidi ya mtoto wa mbili kimo. vyama vya siasa vina mahusiano ya kirafiki pale falsafa na misingi inapofanana. sio ajabu chama kimoja kusaidia chama kingine ambacho bado ni kichanga. kwenye siasa chama kuwa na umri wa miaka 25 bado kinahesabika ni kichanga. kwa taarifa yako tokea TANU mpaka ikawa CCM imeomba sana misaada kwa vyama vingine. kibaya zaidi kuna nchi zimekuwa zikiichangia CCM kama dola, pia CCM imepokonya mali ambazo watanzania bila kujali itikadi walichangia kwa jasho na mali.

kama unafikiri vyama vya upinzani kuomba msaada kutoka vyama rafiki ni kitu cha ajabu nenda kasome sayansi ya siasa kwa upana wake. CCM imekuwa ombaomba kwa miaka mingi na mwaka jana tu iltembeza bakuli china kwa ajili ya kufadhili mchakato wa kampeni wakati wa uchaguzi, CCM imedhulumu jasho na mali za watanzania pale walipochangia miradi mbalimbali kama ujenzi wa viwanja vya michezo na pia inatumia nafasi iliyonayo kupata nafasi za fursa za kibiashara na nchi zingine.

CCM mpaka leo ni ombaomba. haiwezekani chama kikongwe kama CCM kinazindua ghorofa ya kupanga makazi kwa mbwembwe nyiiingi! watanzania huwa hawataki ujinga hasa njuka kama wewe unapoleta hoja muflisi. tunajua mchele na chuya
Kwa hiyo ccm ikiwa ombaomba na chadema nao lazima wawe ombaomba??

Sasa utofauti wa chadema na ccm ni nini?

Kwa nini tuache kuchagua ccm ombaomba, tukachague chadema ombaomba??
 
Yaani mleta mada umekosea kidogo kuandika unafikiri kwenye akili yako ulikua na maana ya " Aibu ya MTU mweusi kwa serikali ya ccm kuwa ombaomba kwa muda ya miaka hamsini" ila kwakua we ni gamba si kosa lako.
Tetemeko tu LA kagera mmeomba mpaka aibu.
 
Bora chama kuna nchi ina kila rasilimali lakini kutwa kuomba omba kwa wazungu kuchangia budget yake
 
Yaani Unakuta Mtu Mzima, Una Familia Yako Na Watoto Na Unaongoza Chama Cha Siasa, Unakiendesha Kwa Kwenda Kuomba Omba Kwa Wazungu - Unapiga Piga Domo Pale Na Majungu Ili Wakusaidie Chochote

- Sasa Kama Kuendesha Chama Mtu Unajikomba Komba Kwa Wazungu, Nchi Itakuwaje

- Na Unapokuwa Unaomba Inakuwa Unadhalilika Sana, Sijui Hata Wazungu Wanakuonaje ???
Nonsense, Tanzania bado inaomba hata leo. You must be ignorant of everything I can say!
 
Back
Top Bottom