Aibu ya kuapishwa Rais wa Ghana!

Alikuwa katika upinzani muda mrefu.
Sasa kaupata urais.

Akiapishwa jana, rais Nana Dankwo Akufo Addo ameweka historia ya aibu kwa kuquote bila kumung'unya inauguration speeches za George Bush na Clinton.

Hii inaitwa plagiarism, yaani kutumia mawazo ya wengine kama yako.

Hii katuletea aibu huyu rais wetu wa kiafrika, na tayari BBC wamemquote word verbatim neno kwa neno akiyarufia ysle mawazo ya Bush.
Aibu.
Kwahiyo ulitaka aonge speech ya faru john ndio ushangilie unga huu sijui nani anauingiza vijana ndio wanapotea hivi
 
Mimi sioni aibu yoyote kwenye hilo kwani kama hao marais walizungumza mambo ambayo rais mteule aliona yana relevance kubwa kwa nchi yake.
'YOU DONT HAVE TO INVENT A WHEEL'
Unajibizana na wenye akili za kushikiliwa kumbuka muda wako una thamani
 
Alikuwa katika upinzani muda mrefu.
Sasa kaupata urais.

Akiapishwa jana, rais Nana Dankwo Akufo Addo ameweka historia ya aibu kwa kuquote bila kumung'unya inauguration speeches za George Bush na Clinton.

Hii inaitwa plagiarism, yaani kutumia mawazo ya wengine kama yako.

Hii katuletea aibu huyu rais wetu wa kiafrika, na tayari BBC wamemquote word verbatim neno kwa neno akiyarufia ysle mawazo ya Bush.
Aibu.
Kweli Aibu.Wengine tulidhani Waghana ndio mfano wa waafirika wanaojitambua.Hata basi heshima ya kistaarabu tuu kutanguliza kuwa unamnukuu flani hakuna.
 
Kweli Aibu.Wengine tulidhani Waghana ndio mfano wa waafirika wanaojitambua.Hata basi heshima ya kistaarabu tuu kutanguliza kuwa unamnukuu flani hakuna.
Asante mkuu kwa kulielewa tatizo.
Bahati mbaya vilaza wengi humu mtandaoni wala hawajui tatizo ni nini, hii inatokana na uelewa mdogo sana au kushindwa kuelewa kabisa kuwa Afrika imejidharau kwa kupitia hiyo hotuba ya rais wa Ghana.
Ukifuatilia response kwenye sredi hii utatambua nani anaelewa na nani haelewi kabisa!

Plagiarism is really an intellectual sin, wengine wanaenda mbali Zaidi kuita intellectual prostitution!
 
Asante mkuu kwa kulielewa tatizo.
Bahati mbaya vilaza wengi humu mtandaoni wala haahui tatizo ni nini, hii inatokana na uelewa mdogo sana au kushindwa kuelewa kabisa kuwa Afrika imejidharau kwa kupitia hiyo hotuba ya rais wa Ghana.
Ukifuatilia response kwenye sredi hii utatambua nani anaelewa na nani haelewi kabisa!

Plagiarism is really an intellectual sin, wengine wanaenda mbali Zaidi kuita intellectual prostitution!
Phd ya uchwara ni mfano wa udukuzi wa mawazo ya wengine. Ndiyo maana lugha ya msingi ya kisomi inabuma.

Unataka kugundua hotuba wakati wenzenu walikwisha zigundua.

Hapa kazi tu ndiyo hotuba bora duniani kwa sasa ikichuana kwa karibu na hotuba ya rais kwa wahanga wa tetemeko.

Hapo lazima tukubaliane miafrika ndivyo tulivyo.
 
Usiziconfuse issues mkuu.
Lazima kuwa concise,accurate katika kujadili jambo.
Kama una issues za PhD fake, anzisha thread kama za Ben Saanane ambaye sasa hayupo.
Uwanda ni wako.
 
Acha kujipendekeza RAIS WAKO NI JOHN P MAGUFULI. Huyo wa ghana hatuhusu,usitujazie aibu bwana kisa uafrika. Kila mtu anabeba mzigo wake mwenyewe.

Angekua wa kenya tungeshtuka maana ka mlima ketu 'wameiba',hivyo tungeaibika wote(kidogo)
Kwani umejuaje mleta mda ni mtanzania? Ngada zinamaliza vijana
 
Back
Top Bottom