Aibu ya kuapishwa Rais wa Ghana!

Aibu ya kuapishwa Rais wa Ghana!

Wala hakuwa na maana yake kama mnavyodai, alichofanya ni plagiarism, ametoa speech kana kwamba ni ya kwake, angeitoa kama nukuu alitakiwa ku- acknowledged the source.

Na kweli ni aibu!
 
Neno "quote"lipo kwakuwa matumizi ni hayo,kama kuna sehemu inafana na mawazo yako hata kwa mtiririko uleule au unaofanana kwanini usitumie?
 
Back
Top Bottom