Aibu ya kuapishwa Rais wa Ghana!

Aibu ya kuapishwa Rais wa Ghana!

Usiziconfuse issues mkuu.
Lazima kuwa concise,accurate katika kujadili jambo.
Kama una issues za PhD fake, anzisha thread kama za Ben Saanane ambaye sasa hayupo.
Uwanda ni wako.
Siwajibiki wala sipangiwi na Lumumba kwa michango yangu JF.
 
Mijitu mingine bana, kukosa akili unalaumu chama!
Sasa wewe akili yako iko wapi kushabikia rais mjinga , na ambaye si original thinker, kuiba speech za wazungu!
Ashabikiye ujinga na yeye umempitia.
Soma sana elimu ikusaidie.
 
dah...kidogo kelele za kutaka Rais, mtukufu wetu aandaliwe hotuba zitapungua,nimeamini Mungu analipa hapahapa duniani wallah,nasubili waliofurika uko accra warudi watupe mrejesho [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Huyo aliyemuandikia hotuba rais Akufo ameshatimuliwa toka Ikulu siku nyingi baada ya aibu ya ku copy and paste.
 
Mijitu mingine bana, kukosa akili unalaumu chama!
Sasa wewe akili yako iko wapi kushabikia rais mjinga , na ambaye si original thinker, kuiba speech za wazungu!
Ashabikiye ujinga na yeye umempitia.
Soma sana elimu ikusaidie.
Rais wako mwerevu yuko wapi?
 
Dont be a coward!
Coward hawapo kwenye hii forum inayokubalika hata wewe kutoa mawazo yako.

Waoga ni ninyi mnaopamba maiti na kuisifia huku mnatia uvumba na maradhi mfiche harufu.

Ni upumbavu uliopitiliza nyie kushindwa kuheshimu maamuzi ya Waghana kuhusu chaguo lao. Huku mnatutaka tuheshimu chaguo lenu na bao la mkono ambalo limekuwa kituko day after day

Give me a break
 
Stinking coward!
 
Alikua na maana yake. Huwezi niambia utatafuta speech za miaka ya nyuma hivi hivi bila sababu huyo anajua nini anakiifanya sasa nyie hata hamjaswaki mnakuja kubweka tuuu hapa pamoja na mtoa mada
Kanyea kambi ya Urais akisindikizwa na Mbowe!
 
sasa umeandika nini? hata hueleweki au kijiti
Mkuu unamaanisha kaandika kwa kijiti kama mwanafunzi wa chekechea? Au mibange?.Nimecheka sana japokuwa nilikuwa mgomo wa kutokucheka mpaka utawala huu uondoke madarakani.
 
Ungegoma kula ungeeleweka, Lema hajambo?
 
  • Thanks
Reactions: EEX
The stinking coward!
Leo umepata courage ya kuongea!
Mkuu kitu kinachostink kinaitwa kinyesi kinatoka kupitia makalio.

Coward (mwoga kama wewe na uchwara) you don't stink you are rotten top to bottom.

Tabia yenu ni ya wenye mtindio wa ubongo kwa sababu mna kila dalili ya hayo kama kutukana kuropoka na kukurupuka ni ushahidi wa tabia za wenye mtindio wa ubongo.
 
Ohoo!!! Ishakuwa taabu sasa.
 
Back
Top Bottom