Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,613
- 17,645
Sasa hapo hujaelewa nini ?Powder inazidi kuathiri vijana wetu,sasa hapa mtoa mada kaona kaeleweka kabisa
Sasa hapo hujaelewa nini ?Powder inazidi kuathiri vijana wetu,sasa hapa mtoa mada kaona kaeleweka kabisa
Unaruhusiwa kujipa Ban mwenyewe ukihisi huelewi au una akili isiyotosha!Mandina Kama wewe ndo mnaonisababishia ban za Kwa mara Kwa mara Kwa hiyo ulitaka a quote hotuba za James Pumbatupu Malingumu?
Watu wengine bwana, sasa wanaosoma hii post waelewe nini???
sasa umeandika nini? hata hueleweki au kijiti
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wale wale...
Mijitu mimbumbumbu mtandao huu mko wengi!Mandina Kama wewe ndo mnaonisababishia ban za Kwa mara Kwa mara Kwa hiyo ulitaka a quote hotuba za James Pumbatupu Malingumu?
Mkuu hiyo mimbumbumbu ikiongizwa na F4F(Form 4 Failures)in Chief ilifurika huko Accra.Mijitu mimbumbumbu mtandao huu mko wengi!
Sorry Mwaja ndo nn?Hii ndio aibu ya mwaja ambayo mimbumbumbu wala hailewi!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mijitu mimbumbumbu mtandao huu mko wengi!
Extrapolate make good use of your grey matter.Sorry Mwaja ndo nn?
Na hilo ndio tatizo la kuwa na wapiga debe wazuri upinzani lakini intellectual capacity ni zero.Alikuwa katika upinzani muda mrefu.
Sasa kaupata urais.
Akiapishwa jana, rais Nana Dankwo Akufo Addo ameweka historia ya aibu kwa kuquote bila kumung'unya inauguration speeches za George Bush na Clinton.
Hii inaitwa plagiarism, yaani kutumia mawazo ya wengine kama yako.
Hii katuletea aibu huyu rais wetu wa kiafrika, na tayari BBC wamemquote word verbatim neno kwa neno akiyarufia ysle mawazo ya Bush.
Aibu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wale wale...
Hahahaa mbavu zangu mieMandina Kama wewe ndo mnaonisababishia ban za Kwa mara Kwa mara Kwa hiyo ulitaka a quote hotuba za James Pumbatupu Malingumu?
Utaelewa tu, shule zinafunguliwa jumatatu.Ebu rudi shule Ujifunze kuandika tena, Sijakuelewa kabisa
wewe umeelewekasasa umeandika nini? hata hueleweki au kijiti
F4F mwingine.wewe umeeleweka