Aibu: Wito kwa TCRA kuhusu Google

Aibu: Wito kwa TCRA kuhusu Google

WE ARE ANONYMOUS

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2015
Posts
217
Reaction score
284
Daaah, leo nimetulia zangu weekend, kuna wimbo wa wa injili wa Christina Shusho unaitwa NAPENDA, nikasema niugoogle ili niusikilize. Daah, baasi nimefungua zangu my favorite search engine, google, nikaanza ku type neno NAPENDA, kwa kweli hizo suggestions zilizotokea, unaweza ukajikuta unasahau kwamba ulikuwa unasearch wimbo.

Maneno haya almaarufu kama google auto-suggest huwa ni mjumuisho wa yale maneno ambayo watu wa eneo husika au nchi husika wanaya search sana kwenye internet, sasa kwa sababu Wabongo huwa tuna search upuuzi upuuzi tu, ndio maana hata search engine ina suggest hayo maneno.

Japokuwa tatizo hili halipo kwenye lugha yetu ya Kiswahili tu au kwetu Wabongo tu, hata watumiaji wa English, pia yapo haya maneno, ila kwa kuwa wenzetu wanajitambua, wame filter explicit queries na keywords maarufu za ngono, etc, zote ni kwamba haziwezi kutokea.

Natoa wito kwa TCRA, ikiwezekana BAKITA, Wizara ya Science na washika dau wengine especially TZINC ambao ndio wanaosajili domain zote za .co.tz (including GOOGLE.CO.TZ) wapeleke malalamiko google ili yale maneno makali yote yaondolewe kwenye auto suggest na yawe censored!!

ushauri.JPG

Uko sahihi mtoa mada

Naunga mkono hoja kuna sku nlikuwa na sista kuna ktu tulitaka kuchek ile naandka tu suggestion zlizotokea ikabid nighair
mdau mtoa post yuko right kabisa miye mwenyewe nimejaribu suggestion ndiyo hizo na simu ni mpya hata huvyo nani anaweza kusema anapenda kufi*wa

UPDATE:
Hii issue nadhani wengine hawajui kwamba inawezekana kuondoa hayo maneno, kwa mfano mdogo tuu, majirani zetu Kenya, kuna baadhi ya maneno kwenye GOOGLE.CO.KE yameondolewa kwenye suggestion, maneno kama "KUM*" na "KUFIR*" hayapo na baadhi ya maneno makali wanaendelea kuyaondoa.

Suala hapa ni vyombo vinavyohusika, kufanya mawasiliano na Google ili kuondoa hayo maneno kwenye suggestion, hayo maneno hayatokani na computer ya mtumiaji, ni maneno ambayo mtu yoyote anayetumia google.co.tz atayapata hata kama computer yako au kifaa unachotumia kubrowse ni kipya.
 
Google.co.tz Google wanaelewa kila nchi huwa inapendelea nini na mara nyingi mimi hayo yamenikuta unasearch jambo jingine linatokea jambo jingine.


Hii inaonyesha Google wametuorodhesha kama watu tunaopenda kusearch mambo ya kipuuzi.
 
Mpwa ni kweli kabisa ila mada yako inahitaji nyama zaidi. Hio computer uliotumia au account ndio mwenye nayo aliitumia kusearch hayo maneno. Hio ni kweli kabisa tubadilike
 
View attachment 265575

Hayo maneno itakuwa wewe mtoa mada ndo unapenda kuyasearch mara kwa mara ndio maana inakuletea suggestion hizo, mimi nilivyosearch suggestion zangu ziko clear kabisa

Bahati nzuri ume quote mpaka url, wewe umeandika neno (Christina Shusho Napenda), inaonekana hapo juu kwenye URL yako christina+shusho+napenda.

Anza na neno NAPENDA halafu tuwekee hapa.
 
Mtoa mada hizo auto suggestions utakuwa unapenda kutembelea hizo sites. Do maana ukianza kutype tu zinajileta
 
Mtoa mada hizo auto suggestions utakuwa unapenda kutembelea hizo sites. Do maana ukianza kutype tu zinajileta

Daaah, wabongo wagumu sana kuelewa. Jaribu kuandika neno napenda kwenye google.co.tz, then come back ndo uje ulete objection.
 
Hebu jaribuni kuandika NAPENDA U......
Ili tuone Kama unapenda ukawa kitakuja nini?
 
Naunga mkono hoja kuna sku nlikuwa na sista kuna ktu tulitaka kuchek ile naandka tu suggestion zlizotokea ikabid nighair
 
Back
Top Bottom