Aibu Website Ya shirika la Reli Tanzania

Aibu Website Ya shirika la Reli Tanzania

Vipo mkuu kama unadukua bila kua na security layer yoyote lazma wakudake mana kila device inapoingia net inapata IP address pia kila device INA mac address amabayo aibadiliki japo kuna RAIA wanaweza I change izo ndo zitakukamatisha manake utumie tor au VPN yoyote

Sent using Jamii Forums mobile app
Security layer ni kama zipi mkuu? Na strong vpn ni zip mkuu?
Nahitaji kudukua website zote za seri
 
Mfano. Ukidukua website kuna viashiria vinabaki ambavyo vitakufanya ukamatwe baadae?
Km vinabaki unapaswa ufanye nn ili usiache viashiria?
Hakikisha unatumia mac adress fake na hiii inapatikana kwenye kali linux kwa kutumia mac changer lakini pia hata ip ni vizuri ukaibadili kwa kutumia proxies
 
Back
Top Bottom