AIBU: Uwanja wa ndege wa Dar es Salaam wakosa umeme, ndege zashindwa kutua!

Usishangae; wendawazimu wote huendesha mambo yao kiuendawazimu pia. Unayoyaona hapo DAR (bado airport codes hazijabadilishwa kuwa JKN) ni reflection ya aina ya watu wanaoitwa watanzania.
 
ilikuwa aibu kubwa sana kwani jamaa waliamua kupeleka abiria KIA sasa uwanja kama wa DIA unakosa hata jenereta .... je suala la umeme nani alaumiwe (ngereja na wenzake au mkulu ) au wana mgomo wa jairo???
 
.... (bado airport codes hazijabadilishwa kuwa JKN) ... .

Siyo lazima ziendane one-on-one. Mfano Nairobi's Jomo Kenyatta International (NBO); Ronald Reagan Washington National Airport (DCA); Amsterdam's Schiphol (AMS); etc.
 
Hivi nataka nikuulize Mwanakijiji. Wewe chaguo lako hilo ambalo halikuingia madarakani na ambalo ulidhani lingetatua kila kero na shida za nchi hii ni nani? We are really sick and tired of the persistent salvo that you have been throwing at the current government! There is thinly veiled motive that will cme to the light very soon!
<br />
<br />
weka kiswahili, sisi wa st. Abdala mnatutenga sana...!
 
huu mziki ni bomba kila mtu ataucheza jinsi anavyoujua,,,,,bado ikulu sijui wanangoja nini kuwaweka gizani...
 
Unashangaaaaaaaaaa

Mbona kawaida 2 na wa2 wap[o tu wanakula Mshahara na marupurupu kama kawa.

Sisi tumezoea kukaa Gizani sasa mnashanga nn Umeme Kukatika Airport

Mwulizeni Ngelja kwanini kakata Umeme
 
Back
Top Bottom