AIBU: Uwanja wa ndege wa Dar es Salaam wakosa umeme, ndege zashindwa kutua!

duuh siamini imetungwa hii haiwezekani jk ameondokaje kwenda egypt jioni hii huu ni urongo!!
 
Kwa hili kama ni kweli linainukisha nchi, yaani Emirates ije kisha iwe directed KIA kisa no umeme itakuwa kioja kikubwa!
 
Washukuru Mungu imetokea usiku hamna ndege nyingi ingekuwa mchana ingekuwa balaa
 
Tukiendelee hivi..
Hatutaona tena hizo "international flights "
Zote zitaenda ku land Kenya .. tunawafukuza
watalii na biashara kwa ujumla..

Hivi " ni kiasi gani unalipa ku land hapo dar "?
For domestic & international flights.
 
duuh siamini imetungwa hii haiwezekani jk ameondokaje kwenda egypt jioni hii huu ni urongo!!

JK ameahirisha safari zake za nje shauri ya janga la wenzetu Zanzibar, sidhani kama ameamua kupaa kwenda Egypt kusuluhisha maandamano kwenye ubalozi wa Israel nchini humo...lakini huenda katumwa na wakubwa.
 
ni kweli, Abiria waliotoka mwanza wametua Zenji na wamelala huko. mimi nawenzangu tupo mwanza tumeshindwa kuondoka maana ndege haikuruka kutoka dar; kwa sababu bado ipo znz na abiria. abiria wa kanda ya ziwe tumelundikwa mahotelini hadi kesho saa mbili. asubuhi inshallah!
 
Back
Top Bottom